Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ujue fake ID zinanipaga raha sometimes, unabaki kujiuliza huyu mito sijui ni mbaba, sijui ni mbabu, sijui ana gutambi, sijui ni kaandunje teh, basi unabaki kusmile tuUmeona eeh, mi mwenyewe itakuwa ni kucheka tu mwanzo mwisho
Mmh usije tu ukaambiwa uache viatu kaunta my kakaHahaa wala hata sithubutu aiseee, labida kama wallet iwe na ziada ya kutosha ndo naweza kujilipua
Teh yani me ndo nina aibu hadi kunyanyua glass ya juice sitoweza tehTeh teh teh, nitakuwa nawaza tu sijui atanitoa na ngapi leo? Hayo ya gutambi hata sitayaona. Mie na upole huu nitakuwa kimyaa nakunywa tu juice.
Eeh mimi wa moro mwenzioAlafu wewe!
Ujue fake ID zinanipaga raha sometimes, unabaki kujiuliza huyu mito sijui ni mbaba, sijui ni mbabu, sijui ana gutambi, sijui ni kaandunje teh, basi unabaki kusmile tu
Teh teh teh, nitakuwa nawaza tu sijui atanitoa na ngapi leo? Hayo ya gutambi hata sitayaona. Mie na upole huu nitakuwa kimyaa nakunywa tu juice.
Haha uanze kutukagua Mawigi yetu teh. khaa nilisahau physical assessment tena, baki huko huko na mgutambi wakoHahaaa yaani smile zinabeba mengi siku hiyo, manake na mi nitakuwa bize naendelea na physical assessment yangu, ngoma drooo!!!
Aiseeeee ndo maana siwezi kutokea kabisaaaaaaaaa hata kwa mtutu, weeeeee!!! nishushe P hivi hivi kirahisi rahisi, now way!!!
Teh bora hata usinione aisee, maana utagoma katu katu kama aliye mbele yako ndo dada mtumishi[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaaaaaa yaani we sista sitegemei eti uwe mpole weeeeee!! dada mchungaji sawa, lakini wewe ahaaaa wapiii
Haha uanze kutukagua Mawigi yetu teh. khaa nilisahau physical assessment tena, baki huko huko na mgutambi wako
Teh bora hata usinione aisee, maana utagoma katu katu kama aliye mbele yako ndo dada mtumishi[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Teh tuenjoy tu na jf yetu my kakaHahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yaaani umenichekesha balaaaaa!!!! basi wacha tuheshimiane tu online maisha yaende!!!
Teh tuenjoy tu na jf yetu my kaka
Teh me sijachomoa bana, ngoja nipunguze punguze kwanza aibu + vicheko na nianze kujipa mazoezi ya physical assessment[emoji133] [emoji133]Yaani umenichekesha hatari ulivyochomoa mtoko aiseee, khaaaaa!!
Teh me sijachomoa bana, ngoja nipunguze punguze kwanza aibu + vicheko na nianze kujipa mazoezi ya physical assessment[emoji133] [emoji133]
Hahaaaaaa yaani we sista sitegemei eti uwe mpole weeeeee!! dada mchungaji sawa, lakini wewe ahaaaa wapiii
Teh yani me ndo nina aibu hadi kunyanyua glass ya juice sitoweza teh
Wacha we!
Eeh mimi wa moro mwenzio
Hapo ndo unazidi kunichekesha zaidi sasa bahati nzuri niko peke yangu nacheka tu kwa sauti kama mwehu peke yangu peke yangu!!!!!!!!
Mi nimeishakwambia sitafanya hiyo physicla assessment bana, kama vipi anza kunitumia kabisa picha nianze kukufahamu mapemaaa ili siku hiyo usiwe na wasi wasi tena na mimi
Me nipo kihonda, namba ya cm ni 0784714060
Aaah picha hizi hizi za camera 360? Si utaniona byutful byutful kidogo my kaka afu ndo uje unione live sasa weeee. Ntashangaa tu " the number you are calling Is not reachable"; ntaliaje[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Hapo ndo unazidi kunichekesha zaidi sasa bahati nzuri niko peke yangu nacheka tu kwa sauti kama mwehu peke yangu peke yangu!!!!!!!!
Mi nimeishakwambia sitafanya hiyo physicla assessment bana, kama vipi anza kunitumia kabisa picha nianze kukufahamu mapemaaa ili siku hiyo usiwe na wasi wasi tena na mimi