Asante sana mshiki.......zikurudie wewe mjukuu...........babu mimi nilichoka lakini nikaona nipo na wajukuu na wanategemea umakini wangu zaidi ya Autopilot.he he he! Salama lakini kaka, pole na uchovu wa safari aisee.
Mmmmmm PJ acha tu, Saharavoice anavyo chakuchua akili zetu.Mi ndo maana nimemgeuka gafla kwa kweli.
Pole na uchovu wa safari. mimi naku miss, halafu huo mtindo uliolala mi unaniacha hoi sana.
Mmmmmh, hio avatar bana,
Sebuleni tena, usinitafuie matatizo aisee.
Binafsi naomba radhi kwa niaba ya wote tuliokuwa kwenye bahari ile ya raha ni kwa sababu tu wengi hawakuwa online na baadhi cm.zilizimika.
Ila naomba kumpongeza Mello kwa hili jamvi na wana jf.wote ujumla maana hii ni familia kubwa sana na ina upendo wa ajabu ambao ni natural kwa wakuu kutoka Dar. waliotupasha joto F. Lady, mzee mzima Bigirita, Ld, The Finest, Teamo, from moro, Matty, Kimey,chipkizi,mwanajamii one umenikomesha na wengine wengi waliokuwepo na waliotupigia cm. Kama cheusi mangala, asprin, na waliokuwa pamoja na cc online mpaka natamani tujenge kijiji chetu cha amani na upendo siku zote
I salute u Guyz.
Pj.m/kiti na kamati yako nawakoma!
Maxence!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????
Wewe kichwa kichwani zimo na zinakutosha.
Jf. Wera weraaaaaaaaaaaaaa!
Naomba nipate nafasi ya kumuuzia Saharavoice some few tips kuhusu haya mambo.Mmmmmm PJ acha tu, Saharavoice anavyo chakuchua akili zetu.Mi ndo maana nimemgeuka gafla kwa kweli.
C.R.A.P.........The finest was yesterday...the whole of yesterday infact.Crap!!! Habari gani Derimto baba,
Unajua nimekumis gafla, uko wapi ndugu.
Weupe nawapenda bana.
Asante sana mshiki.......zikurudie wewe mjukuu...........babu mimi nilichoka lakini nikaona nipo na wajukuu na wanategemea umakini wangu zaidi ya Autopilot.
Vere vere
oryt oryt
Naomba nipate nafasi ya kumuuzia Saharavoice some few tips kuhusu haya mambo.
tatizo lake ni kwamba anakuwa all over..........mara amwambie FL kwamba yeye huwa anakuja Dar mara nyingi sana, mara yupo kwa LD akiwa ameshikilia sahani ya nyama, mara anaomba number ya cm ya MWJ1......that way, you cant succeed ma brada.
Jipange upya..........hahahahahahaa!!
Dah! yani server zilikuwa down zote kwa wakati mmoja?Yani acha kabisa kaka, kuna wakati tulijikuta tumemtenga Teamo gafla.
Wote tumelala, hadi Kimey nakwambia.
karibu LD, siwezi kuona kijana wa kiume anataka kukuchakachua kirahisirahisi tu.Kaka nashukuru sana kwa msaada mkubwa namna hii,
Maana hi ni vere vere hakya nani.
yes, ni kwsbb ndio kwe2 original, na niliona kiswahili chako km vle kinaendana na huko.
samahan km nmekukwaza.
Basi mamii LD, nimeamua kubaki na WL ingawa naye hajatulia.
halafu wewe binti hebu nishukuru fasta kwa ufanisi wa kazi ulonipa. I care and guard at the same timehahaha WL umeinyaka mapema babu matiti anakutafuta sana halafu umefikisha salam zangu kwa eeka mangi?
sasa LD naona umeanza wivu...............wivu ni dalili ya kwanza kwamba umeanza kupenda.Hii kesi yako aisee ngoja kwanza nimwite, Bigirita, Paka Jimm, Teamo, Kimey, na babu Asprin kwa msaada zaidi.
Maana unatisha, unatisha....
Nimekuona unamchungulia Maty akiwa amelala wewe!
Eti mtindo ulolala unaniacha hoi.
C.R.A.P
Dah! yani server zilikuwa down zote kwa wakati mmoja?
Mimi nilipata kampani ya MJ1 mwanzo mwisho, yeye hakulala kabisa......she was there for me.what a gal!
Mkuu Eeka Mangi.
Nakuheshimu sana kaka, na unastahili!
Hakika tulikukosa sana, na ukizingatia kuwa wewe ungekuwa mwenyeji wetu mkubwa huko offroad!
Kwakweli tulikuwa tunakuombea sana ufanikiwe kutatua hilo tatizo..lakini huenda Mungu alipanga iwe hivyo.
Usijali Mkuu, safari hii ni kupanda KILIMANJARO...Tuanze kuongelea suala hili mkuu, hebu weka mambo sawa!
Heshima mingi kwako Kiongozi,
EekaMangi!