Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
he he he! Salama lakini kaka, pole na uchovu wa safari aisee.
Asante sana mshiki.......zikurudie wewe mjukuu...........babu mimi nilichoka lakini nikaona nipo na wajukuu na wanategemea umakini wangu zaidi ya Autopilot.

Vere vere
 
Binafsi naomba radhi kwa niaba ya wote tuliokuwa kwenye bahari ile ya raha ni kwa sababu tu wengi hawakuwa online na baadhi cm.zilizimika.

Ila naomba kumpongeza Mello kwa hili jamvi na wana jf.wote ujumla maana hii ni familia kubwa sana na ina upendo wa ajabu ambao ni natural kwa wakuu kutoka Dar. waliotupasha joto F. Lady, mzee mzima Bigirita, Ld, The Finest, Teamo, from moro, Matty, Kimey,chipkizi,mwanajamii one umenikomesha na wengine wengi waliokuwepo na waliotupigia cm. Kama cheusi mangala, asprin, na waliokuwa pamoja na cc online mpaka natamani tujenge kijiji chetu cha amani na upendo siku zote

I salute u Guyz.

Pj.m/kiti na kamati yako nawakoma!
Maxence!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????
Wewe kichwa kichwani zimo na zinakutosha.

Jf. Wera weraaaaaaaaaaaaaa!

Crap!!! Habari gani Derimto baba,
Unajua nimekumis gafla, uko wapi ndugu.

Weupe nawapenda bana.
 
Mmmmmm PJ acha tu, Saharavoice anavyo chakuchua akili zetu.Mi ndo maana nimemgeuka gafla kwa kweli.
Naomba nipate nafasi ya kumuuzia Saharavoice some few tips kuhusu haya mambo.
tatizo lake ni kwamba anakuwa all over..........mara amwambie FL kwamba yeye huwa anakuja Dar mara nyingi sana, mara yupo kwa LD akiwa ameshikilia sahani ya nyama, mara anaomba number ya cm ya MWJ1......that way, you cant succeed ma brada.
Jipange upya..........hahahahahahaa!!
 
Crap!!! Habari gani Derimto baba,
Unajua nimekumis gafla, uko wapi ndugu.

Weupe nawapenda bana.
C.R.A.P.........The finest was yesterday...the whole of yesterday infact.
 
Asante sana mshiki.......zikurudie wewe mjukuu...........babu mimi nilichoka lakini nikaona nipo na wajukuu na wanategemea umakini wangu zaidi ya Autopilot.

Vere vere

Yani acha kabisa kaka, kuna wakati tulijikuta tumemtenga Teamo gafla.
Wote tumelala, hadi Kimey nakwambia.
 
Naomba nipate nafasi ya kumuuzia Saharavoice some few tips kuhusu haya mambo.
tatizo lake ni kwamba anakuwa all over..........mara amwambie FL kwamba yeye huwa anakuja Dar mara nyingi sana, mara yupo kwa LD akiwa ameshikilia sahani ya nyama, mara anaomba number ya cm ya MWJ1......that way, you cant succeed ma brada.
Jipange upya..........hahahahahahaa!!

Kaka nashukuru sana kwa msaada mkubwa namna hii,
Maana hi ni vere vere hakya nani.
 
Yani acha kabisa kaka, kuna wakati tulijikuta tumemtenga Teamo gafla.
Wote tumelala, hadi Kimey nakwambia.
Dah! yani server zilikuwa down zote kwa wakati mmoja?
Mimi nilipata kampani ya MJ1 mwanzo mwisho, yeye hakulala kabisa......she was there for me.what a gal!
 
Kaka nashukuru sana kwa msaada mkubwa namna hii,
Maana hi ni vere vere hakya nani.
karibu LD, siwezi kuona kijana wa kiume anataka kukuchakachua kirahisirahisi tu.
 
Paka shaka ondoa kwakuwa naendlea kuwapata watu wa kwetu kama wewe wa mchambawima basi mimi najua ndio kufahamiana .Usiwe na shaka kama na kiswahili cha pemba nafurahi maana ndio wanasifika kwa kiswahili.
yes, ni kwsbb ndio kwe2 original, na niliona kiswahili chako km vle kinaendana na huko.
samahan km nmekukwaza.
 
Basi mamii LD, nimeamua kubaki na WL ingawa naye hajatulia.

Hii kesi yako aisee ngoja kwanza nimwite, Bigirita, Paka Jimm, Teamo, Kimey, na babu Asprin kwa msaada zaidi.

Maana unatisha, unatisha....
Nimekuona unamchungulia Maty akiwa amelala wewe!
Eti mtindo ulolala unaniacha hoi.

C.R.A.P
 
hahaha WL umeinyaka mapema babu matiti anakutafuta sana halafu umefikisha salam zangu kwa eeka mangi?
halafu wewe binti hebu nishukuru fasta kwa ufanisi wa kazi ulonipa. I care and guard at the same time
 
Hii kesi yako aisee ngoja kwanza nimwite, Bigirita, Paka Jimm, Teamo, Kimey, na babu Asprin kwa msaada zaidi.

Maana unatisha, unatisha....
Nimekuona unamchungulia Maty akiwa amelala wewe!
Eti mtindo ulolala unaniacha hoi.

C.R.A.P
sasa LD naona umeanza wivu...............wivu ni dalili ya kwanza kwamba umeanza kupenda.
I am still watching where this is heading...........naona inaelekea kwenye PM
 
Preta shaka ondoa nitawafahamu wote tu ila inabidi iwe taratibu sana na kwa makini sana maana humu watu wanaonekana si rahisi kuwaona ovyo , nami najitahidi kwa hilo maana kwenye mapambano usipambane na adui anayekuona pambana na adui asiyejua ili uweze kumsambaratisha. Vinginevyo nitajitahidi sana kuungana na wana JF wote popote pale walipo.
 
Dah! yani server zilikuwa down zote kwa wakati mmoja?
Mimi nilipata kampani ya MJ1 mwanzo mwisho, yeye hakulala kabisa......she was there for me.what a gal!

Daaa we acha tu, inabidi tutafute cocacola baridi mbili tumpoze Teamo, manake,
It was unfair lol
 
Mkuu Eeka Mangi.
Nakuheshimu sana kaka, na unastahili!
Hakika tulikukosa sana, na ukizingatia kuwa wewe ungekuwa mwenyeji wetu mkubwa huko offroad!
Kwakweli tulikuwa tunakuombea sana ufanikiwe kutatua hilo tatizo..lakini huenda Mungu alipanga iwe hivyo.
Usijali Mkuu, safari hii ni kupanda KILIMANJARO...Tuanze kuongelea suala hili mkuu, hebu weka mambo sawa!
Heshima mingi kwako Kiongozi,
EekaMangi!

Mkuu PJ
Ungeniona nilivyokuwa nimechafuka loh. Nilijitahidi sana! Hizi bajaji zetu zimetengenezwa kwa maplastiki. Mkuu tutaanza mchakato mapema wa Kilimanjaro climb. Jamani msiogope tutaenda mpaka first hut tu. Naona iwe kipindi cha Pasaka mwakani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom