Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
kwa kweli hii sitaikosa ila aika mangi ufanye mpango wa kuja na dumu la mbege ctaki kunywa vinywaji vingine vile vya rangi ya njano kwani vinafanza vibaya
Babu mkagua..... umenikumbusha sever ya Matty ilivyotema loh.....hahahahah
Halafu saharavoice ulinimaliza ulitakakumpeleka Matty kulala kabla ya wakati loh............guyz it was vere vere kama tunasubiria free kick bana
nangoja shukrani ilotathminiwa.................hujambo mjukuu.yaani hapa natafuta shukrani ya kukupa lakini zote naona hazina thamani, bado natafuta itakayokufaa. Vp mzima lkn yaani we na teamo mmefanya kaz kubwa sana ku2linda bado ku2fikisha salama wakat cc 2melala 2 mungu aendelee kuwatia nguvu
hi luv....mzima wewe
Babu mkagua..... umenikumbusha sever ya Matty ilivyotema loh.....hahahahah
Halafu saharavoice ulinimaliza ulitakakumpeleka Matty kulala kabla ya wakati loh............guyz it was vere vere kama tunasubiria free kick bana
Mabinti Preta, Wiselady, Loner and Lilyflower......................................mnafikiri sifa kuwa wazuri hivyo? waone vile
Derimto macare na malavidavi uliyaonyesha kwa kweli dah............I wish Mama wa Kwanza angekuwa hajatoa ile thread yake ya Heartbreakers..........mbona ningeweka kambi chalii yangu!!
Mamii ndo nazinduka awamu ya pili wacha kabisa ................ jamani I had a lot of fun........looking forward to see you again Preta.
me too my dear........tunajipanga upya kuja huko kwenu kwa stail ya bomu la scud...tusubirini
Babu mkagua..... umenikumbusha sever ya Matty ilivyotema loh.....hahahahah
Halafu saharavoice ulinimaliza ulitakakumpeleka Matty kulala kabla ya wakati loh............guyz it was vere vere kama tunasubiria free kick bana
unasemaaaaaaaaaaaa! Maty aende? Huyu Saharavoice ntamwendea kwa babu pale msitu wa tembo. We cheza tu na wa2 hovyohovyo. Hivi huyu Saharavoice ndo yule anamkiwaga kwenye redio anauchuna sio. Anaitwa nani vile yule wa wototo wa shule nani tena?
Kaka tena Saharavoie alitoa offer ya kumbeba matty hadi Midway........what a romantic scene to witness loh.............. I widh ungekuwepo anyway pole kwa kuharibikiwa na gari bana.
Hahahah Fataki?? Hapana lol
Matty ameibatiza jina kile kinywaji cha Vaisi Roi sasa ni Voisi of Risoni loh anakilaani hadi kesho..............
unasemaaaaaaaaaaaa! Maty aende? Huyu Saharavoice ntamwendea kwa babu pale msitu wa tembo. We cheza tu na wa2 hovyohovyo. Hivi huyu Saharavoice ndo yule anamkiwaga kwenye redio anauchuna sio. Anaitwa nani vile yule wa wototo wa shule nani tena?
me too my dear........tunajipanga upya kuja huko kwenu kwa stail ya bomu la scud...tusubirini
Sasa si useme polepole bana! Roho inauma ati!
yaan cpat picha hiyo siku ila angalia sahara asiione hachelewi kudumbukiza dawa kwan ashasemaHiyo mbege ntaitengeneza mwenyewe afu nna ka kafriji ka kishkaji kunako mkoko itakuwa ya bridiiiiiiiiii.
Mbona nimenongoneza hapo jamani....................
yaan cpat picha hiyo siku ila angalia sahara asiione hachelewi kudumbukiza dawa kwan ashasema
Hukatizi KIA. Ulinzibia bure saharavoice kidogo achakachue. Na ww hukatizi kesho naamkia kwa babu!