Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Jamani guyz...........................sina la kusema zaidi ya aksante kwa kutukaribisha na kutufanya tujisikie tuko nyumbani na pia kutupokea na kutupa fursa ya kuwawakilisha wanaJF wa Dar na kwingineko ambao ni wazi wangependa kujumuika pamoja nasi. Kwa kweli sikuwa nimepata picha ya mapokezi hayo hasa ukizingatia tuliwasurprise tu ...............njia nzima nilikuwa na mashaka kama tutawakuta but alas to my shock it was awesome.....especially pale kaka Pakajimmy alipokutanishwa ghafla na Da Sophy pale Midway loh...................

Samahanini naombeni namba ya simu na jina la yule DJ................
Halafu yule DJ alikuwa ana maslahi binafsi kwako na kwa FL maana zile nyimbo alizokuwa anapiga mmhh
 
Nimekubali lazima utakuja na mambo mengi mapya......nakubaliana na wewe 100%
hmethod ulikuwa makini kweli tusije tukaondoka na kondoo wa Arusha kuja nao Dar lakini hata hivyo logistic zinafanyika
 
Kiongozi vp, mbona umekuwa mkimya ghafla, niaje chalii yangu wewe?
Halafu mbona unaposti 'via mobile', uko wapi?...unanitisha!

Mkuu,
Sote tulifurahi sana kufahamiana...was nice and cute!..
Thanx God mlifika salama, most welcome next time/.
Hahaha kiongozi hii posted via mobile ni kwamba bado nipo ovyohovyo guest! Wahudumu wamenipa discount.ila naomba ukisha soma hii futa my WL asione.
 
attachment.php

Nyama choma kwa wingiii najua watu wa dar watazitamani na watarudi tena Arusha hasa Kimey![/QUOTE]
Ha ha ha Arusha lazima kurudi bana! Soma kati ya mistari hapo!
 
Kiongozi,

Watu wa hivyo waadabishe ili siku nyingine wakumbuke kuaga.
Ila mimi nashukuru walifanya hivyo, maana huenda wangekuaga ungezua migogoro ya kibabubabu...mara mgongo unaniuma nahitaji mtu karibu...mara miguu inachoma, abaki mtu wa kuninyanyua, na vitu kama hivyo..
Ni bora hawakukuaga!

Hapo kwenye RED ni sawa ila huo utetezi mwingine not acceptable..Babu hakimbiwi hata siku moja.

Hata hivyo subiri revenge yangu..itakuwa zali la mentali hadi wajukuu watajua kuwa mimi ni babu yao!
 
Nyama choma kwa wingiii najua watu wa dar watazitamani na watarudi tena Arusha hasa Kimey!
Ha ha ha Arusha lazima kurudi bana! Soma kati ya mistari hapo![/QUOTE]

Mhhh,

Hao watu wa Dar waliozoea nyama za kuchakachua hawakukumbwa na kasheshe ya mafuta? Nasubiri wataalamu wasema kama hakuna case ya steatorrhea walau moja.. Kama imetokea sasa hiyo itakuwa ni kesi kwa PJ!
 
Hapo kwenye RED ni sawa ila huo utetezi mwingine not acceptable..Babu hakimbiwi hata siku moja.

Hata hivyo subiri revenge yangu..itakuwa zali la mentali hadi wajukuu watajua kuwa mimi ni babu yao!
Duh! Hiyo ndio slogan mpya ya 2011
 
Ha ha ha Arusha lazima kurudi bana! Soma kati ya mistari hapo!

Mhhh,

Hao watu wa Dar waliozoea nyama za kuchakachua hawakukumbwa na kasheshe ya mafuta? Nasubiri wataalamu wasema kama hakuna case ya steatorrhea walau moja.. Kama imetokea sasa hiyo itakuwa ni kesi kwa PJ!

Mkuu,
Hakuna kesi kwa PJ wala kamati yake ya UFUNDI.
Steatorrhea ingekuwepo tayari ningeshapata feedback kufikia leo, si unajua hairembi ile eeh?...LAKINI ni kwamba watu waliendelea na mzigo na wengine walisafiri huku njiani wakiendeleza libeneke kwa raha zao...!😛arty:
Mkuu mambo yalikuwa yamepangika bana...
Hiyo revenge yako usipokuwa makini unaweza ukabwagwa mbaya!
 
Mkuu PJ, yameisha..kuna kajukuu kamoja kana busara kama nini. Kameongea na babu kakamtuliza mzuka wote. Hata hivyo babu taanza kuiangalia kwa karibu shajara yake ya 2011. Stay tuned!

Ha ha ha ha ngoja niwaambie wajukuu wakuongezee ugoro

Kajukuu yameisha. Kuna mdau mmoja kawalipia kila bill..Mtafute umshukuru kwani babu alikuwa anasubiri kushusha kosovo!
 
hmethod ulikuwa makini kweli tusije tukaondoka na kondoo wa Arusha kuja nao Dar lakini hata hivyo logistic zinafanyika

Endelea tu na logistics zako lakini nakushauri uni-consult maana manzi za Arusha zinaweza kukuuzia mbuzi kwenye gunia! :smilez:
 
Habari ake saharavoice bana!!!!
Wewe nae uko kimya mno...au kwa vile SaharaVoice alihama na ile sahani yako ya BABERQUE?

Mambo LD?..mzima weye?
Ulikuwa umelala hadi leo nini, maana nimekusaka vere vere.
Nambie safari ilikuwa poa?
Micing you gal!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom