The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Halafu yule DJ alikuwa ana maslahi binafsi kwako na kwa FL maana zile nyimbo alizokuwa anapiga mmhhJamani guyz...........................sina la kusema zaidi ya aksante kwa kutukaribisha na kutufanya tujisikie tuko nyumbani na pia kutupokea na kutupa fursa ya kuwawakilisha wanaJF wa Dar na kwingineko ambao ni wazi wangependa kujumuika pamoja nasi. Kwa kweli sikuwa nimepata picha ya mapokezi hayo hasa ukizingatia tuliwasurprise tu ...............njia nzima nilikuwa na mashaka kama tutawakuta but alas to my shock it was awesome.....especially pale kaka Pakajimmy alipokutanishwa ghafla na Da Sophy pale Midway loh...................
Samahanini naombeni namba ya simu na jina la yule DJ................