Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
sasa LD naona umeanza wivu...............wivu ni dalili ya kwanza kwamba umeanza kupenda.
I am still watching where this is heading...........naona inaelekea kwenye PM

Hvi huo ndo wivu babu, mmmmh, anatuchanganya bana,
Mara WL, mara LD, mara anamchungulia Maty.

Lakini mi nshamkimbia, namfikiria fikiria hmethod.
 
Hvi huo ndo wivu babu, mmmmh, anatuchanganya bana,
Mara WL, mara LD, mara anamchungulia Maty.

Lakini mi nshamkimbia, namfikiria fikiria hmethod.
Now you are talking..............he seems like a good boy. go for him. Kama unataka nauli ya kwenda AR unitafute kabisaa
 
yeah we missed a lot dude
And you have missed this either:

r71xfa.jpg
 
Pole sana brother aika.....hope nxt time tutakuwa wote.

Mkuu asante sana. Karibuni huku moshi bana.
Ila aisee JF wa huku Moshi wagumu kujuana kweli. Kuna siku nilikuwa JF mmoja alinitembelea tukawa tunaongelea mambo yetu. Kulikuwa na jamaa tumekaanaye kumbe naye ni JF tangu enzi za Jambo Forum lakini hawataki kujitokeza. Bado wana uoga kwa kile kisa cha mods wetu kipindi kile kuwekwa sero. Jamani huku Moshi JF tujuwane ni kwa mapenzi mema tu.
 
Hajafikisha salamu bana. Nimtwange faini nini ka ya vijisenti kadhaa!

kwanza pole kwa yote,,pili pokea salam toka kwa mpenzio maty,,alikuja kwa ajili yako bahati mbaya ndo vile tena,,,tatu tulikosa sana uwepo wako!
 
Hvi huo ndo wivu babu, mmmmh, anatuchanganya bana,
Mara WL, mara LD, mara anamchungulia Maty.

Lakini mi nshamkimbia, namfikiria fikiria hmethod.

pole na uchovu mydear,,,huyu sahara hebu endelea nae tu mie na maty hatuko kabsaaa,,maty ni wa aika mangi kwa hiyo utamiliki mwenyewe,,huyo method ni mpango wangu............,,mcng u gal
 
halafu wewe binti hebu nishukuru fasta kwa ufanisi wa kazi ulonipa. I care and guard at the same time

yaani hapa natafuta shukrani ya kukupa lakini zote naona hazina thamani, bado natafuta itakayokufaa. Vp mzima lkn yaani we na teamo mmefanya kaz kubwa sana ku2linda bado ku2fikisha salama wakat cc 2melala 2 mungu aendelee kuwatia nguvu
 
kwanza pole kwa yote,,pili pokea salam toka kwa mpenzio maty,,alikuja kwa ajili yako bahati mbaya ndo vile tena,,,tatu tulikosa sana uwepo wako!

Wiselady acha bana! Ukikuta watu wanamalizia kula wanasema ulizaliwa wakti wa njaa! Sasa mimi hapa nilizaliwa wakati gani. Mi naenda safari yangu tarehe 16/1. Nitakuwa pale Mto wa Mbu kwa night 2. Mto wa Mbu usiku kumekucha acha utani bana. Siku ya kwanza nitalala tu. Kesho yake nitaenda Ngorongoro. Siku ya tatu nitafanya game drive pale Manyara national park then mchana nitarudi Moshi. Maty karibu tujumuike pamoja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom