TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Mpango endelevu na maalum kwa walioikosa arushaKwani MEMKWA ndo nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango endelevu na maalum kwa walioikosa arushaKwani MEMKWA ndo nini?
preta, hiyo chupi ya pink kwenye avatar vipi tena? ndio mambo gani ya kustua watu asubuhi hii banaha ha ha......Happy New Year.....leo ni Ijumaa
Nimesikitika hujanimisi.
Ole wako. Nakuanzishia sredi ya talaka ya dada.
preta, hiyo chupi ya pink kwenye avatar vipi tena? ndio mambo gani ya kustua watu asubuhi hii bana
Mpango endelevu na maalum kwa walioikosa arusha
preta, hiyo chupi ya pink kwenye avatar vipi tena? ndio mambo gani ya kustua watu asubuhi hii bana
subiri kidogo nianzishe thread ya kuaga kwanza.......maana naenda kujinyonga
usiniangushe bana....angalia vizuri...ni hendikachifu hiyo
Nilikuwa nimesahau kama Asprin naye anaingia kwenye MEMKWA
Usijinyonge bana, Roya ana kisusio chako. Huyu jamaa ana uadui na shingo za mbuzi asee.
subiri kidogo nianzishe thread ya kuaga kwanza.......maana naenda kujinyonga
Mkuu nashukuru nyu yia imeisha sasa ni wakati wa kupona hang-over na kula albakiMweka hazina wa MEMKWA tayari nshaandaa risiti.
Damn! Hivi leo lini?
Hizi hendikachifu zitakuwa ni matoleo mapya kwa ajili ya majaribio
Mkuu nashukuru nyu yia imeisha sasa ni wakati wa kupona hang-over na kula albaki
Usijinyonge babe! Mi.natabakia na nani WL. Mwenyewe anakona nyingi siku hizi na uhakika kwa MJ1 ni wa mashaka Big ananithibiti sana kuhusu hiyo avata weka unayotaka hasa ile uliyoivaa leo asubuhi na kesho usiache kubadilisha mwaya
kha, kweli mie mshamba, hiyo hendikachifu kweli? dahusiniangushe bana....angalia vizuri...ni hendikachifu hiyo
Hii inaitwa "Underwear calling" You have been notified and warned accordinlgly.
hahaaaaaaa.. ni vyema baadhi ya wazee tulibaki kulinda boma ati, ingekua balaa... pancha wapi ndugu yangu, nimebadili tairi kabisa.... Tanga raha mwana!!!Mi nafurahi na wewe hukuenda, manake ungeenda mbona ningekoma.
Vipi pancha ushaziba?
apologies, sikujua kwamba hiyo siyo chupiHii inaitwa "Underwear calling" You have been notified and warned accordinlgly.
mi nafurahi na wewe hukuenda, manake ungeenda mbona ningekoma.
Vipi pancha ushaziba?