Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Kumbe halafu hizi whtasap GB na fm ni kwa ajili ya tecno tu.

Juzi nilidownload kwenye iPhone yangu.
Ikaleta massage eti "je unataka kuniaibisha "?
 
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Aliekuambia anayetumia Tecno nitajiri nani ujakuwa bado ww alafu ni mshamba kumbe bado hujui chochote kuhusu simu na matumizi yake kama unatumia simu kwajili ya showoff basi ww ni limbukeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi nyie watumia iphone na samsung tuliwakosea nini na tecno zetu[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…