Aliekuambia anayetumia Tecno nitajiri nani ujakuwa bado ww alafu ni mshamba kumbe bado hujui chochote kuhusu simu na matumizi yake kama unatumia simu kwajili ya showoff basi ww ni limbukeni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni kadogo kweliiwe kama hivi
MBONA MAN CITY WANAITANGAZA KWAHIYO MASHABIKI WA MAN CITY MASIKINI AU
ha ha ha
mm napenda Android phone kuna vitu huwa naifanya ndio maana navutiwa nayo tofauti na wakina IPhone huko,Mkuu vipi unatumia tecno? Maana kwa risala hii jamaa atakoma kabisa kutusema sisi wenye tecno
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hichi kitoto hakijui kuwa simu ni mapenzi ya mtuMmmh japo situmii tecno lakini mimi si tajiri. Mbona zipo tecno nzuri sana?