Wana JF wengi ni maskini, wengi hutumia Tecno

Pyaar umenikumbusha jina la movie moja ya kihindi yenye hisia kali sana...inaitwa pyaar impossible
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndio ukomo wako wa kufikiria ulipoishia...na ndio umefikiria mpaka mwisho, hata wacomment vp utoelewa maana ushatumia karibia akili zako zote.
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.

Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Taja mali unazomilki ukiacha hiyo simu yako isiokuwa Tecno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…