Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Liberation movement inahitaji snipers wa kutuondolewa wanamtandao, mmoja baada ya mwingine. Hawa wahuni wanatuumiza kichwa, lakini wanahesabika!Hamjambo wote!
Mapambano kwa sasa ni makali sana. Upande wa watetezi wa haki unapata damage kubwa kwa kupoteza wapiganaji wake kila kukicha.
Naona upande wa mabadiliko wamekosa Godfather au mastermind wa kuhakikisha madhara makubwa hayatokei kwa timu yao.
Wakati upande wa wanamtandao unaonekana umejipanga. Una godfather na mastermind wenye mbinu nyingi za namna yoyote.
Godfather wa mtandao wanajua kusukuma kete zao kwa utulivu mkubwa na zinazowaweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda.
.usije sema wanatumia nguvu nope! Maana upande wa pili pia waliwahi kukalia kiti cha juu kabisa lakini walipigwa licha ya kukalia kiti.
Sitaki ugomvi na mtu.
Kama unataka ugomvi na mimi ni vizuri uje jumatano. Mchana. Nina ratiba ya iliyosheheni.
Kwenu wanabodi
Atakwambia hana upande yeye ni mtu wa haki.Wewe mwenzetu upo upande upi?? Je una mchango gani kwenye huo upande uliopo?
kwahali ilivo kuliko kuleta machafuko kwanini TZ tusiifanye kuwa shamba la bibi? sioni mwenye uchungu na TZ...ukiona watu wanajipakulia minyama nikufunga mdomo na wewe unatafuta.Hamjambo wote!
Mapambano kwa sasa ni makali sana. Upande wa watetezi wa haki unapata damage kubwa kwa kupoteza wapiganaji wake kila kukicha.
Naona upande wa mabadiliko wamekosa Godfather au mastermind wa kuhakikisha madhara makubwa hayatokei kwa timu yao.
Wakati upande wa wanamtandao unaonekana umejipanga. Una godfather na mastermind wenye mbinu nyingi za namna yoyote.
Godfather wa mtandao wanajua kusukuma kete zao kwa utulivu mkubwa na zinazowaweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda.
.usije sema wanatumia nguvu nope! Maana upande wa pili pia waliwahi kukalia kiti cha juu kabisa lakini walipigwa licha ya kukalia kiti.
Sitaki ugomvi na mtu.
Kama unataka ugomvi na mimi ni vizuri uje jumatano. Mchana. Nina ratiba ya iliyosheheni.
Kwenu wanabodi
Kati ya watu waliojiandaa kutekwa MIMI SIMO na najua siwezi tekwa kwa sababu sababu za kutekwa sina!.Vijana wa Tanzania hamna tofaut na nyumbu
Kuna wakat hata nyumbu wana umoja kuliko watanzania
Mtatekwa hadi muishe wote
kwahali ilivo kuliko kuleta machafuko kwanini TZ tusiifanye kuwa shamba la bibi? sioni mwenye uchungu na TZ...ukiona watu wanajipakulia minyama nikufunga mdomo na wewe unatafuta.
Wafanye yote lkn nakwambia Samia awi rais 202