Wana mabadiliko na wapigania haki Wamekosa Godfather au Mastermind ndio maana ushindi unachelewa

Humu kuna wewe kina yule Carlos jackal, huwa mna story za utoto mnawaza bila akili. Rudia threads zako utagundua kitu
Uliwaahidi watu kuhusu Lissu kuachiwa tarehe 7 mwezi uliopita. Ungeanza kuzungumzia hili kabla ya mengine
Mnajaza sana server za jf bila sababu
Kwamba alitoa amri kwa mamlaka zimuachie lissu kabla ya tarehe 7!!
Kisha asipoachiwa atafanyaje?
Au ndo kesha anza kufanya alichoahidi..
Nyuzi za jf bana porojo porojo tu.
 
Hamjambo wote!

Mapambano kwa sasa ni makali sana. Upande wa watetezi wa haki unapata damage kubwa kwa kupoteza wapiganaji wake kila kukicha.

Naona upande wa mabadiliko wamekosa Godfather au mastermind wa kuhakikisha madhara makubwa hayatokei kwa timu yao.

Wakati upande wa wanamtandao unaonekana umejipanga. Una godfather na mastermind wenye mbinu nyingi za namna yoyote.

Godfather wa mtandao wanajua kusukuma kete zao kwa utulivu mkubwa na zinazowaweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda.
.usije sema wanatumia nguvu nope! Maana upande wa pili pia waliwahi kukalia kiti cha juu kabisa lakini walipigwa licha ya kukalia kiti.

Sitaki ugomvi na mtu.
Kama unataka ugomvi na mimi ni vizuri uje jumatano. Mchana. Nina ratiba ya iliyosheheni.

Kwenu wanabodi
Great to c u back.
 
Tunatengeneza kingmaker wetu na tunatoka naye
 
Humu kuna wewe kina yule Carlos jackal, huwa mna story za utoto mnawaza bila akili. Rudia threads zako utagundua kitu
Uliwaahidi watu kuhusu Lissu kuachiwa tarehe 7 mwezi uliopita. Ungeanza kuzungumzia hili kabla ya mengine
Mnajaza sana server za jf bila sababu

Pole sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom