Kweli kamanda!Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
0ctober
Kweli kamanda!
Ila muambie Tundu tukitaka kuchukua jimbo tena asijethubutu kueleza sera za ushoga.
WanaMbeya Ushoga kwao ni ABOMINATION.
Walimsikia wakati akielezea sera hii kwenye Hard talk na juzi wamarekani wamemkquote alivyoenda kwao kulalamika kuwa JPM anakiuka haki za MASHOGA.
Ungekuwa mwana Mbeya usingeuliza hilo swali kabisa
Haisaidii kitu maana wapiga kura ni sisi wana wa mbeyaSubiri uone
Hata samaki akiwekewa chambo kwenye ndoana anajua anapendwaHata kama akigombea itabaki hisani tu na wananchi wanampenda kwa kuwa na moyo wa kujitoa.
Waaambie ccm wenzakoJiandaeni kisaikolojia yasije yakatokea ya kutokea mkaingia na matokeo mkononi Kama Simba then mkabaki kulia tu
Hilo la kuwa mkombozi ni propagandaWewe unasema kinyago wenzako wanamwona mkombozi.
Hilo la kuwa mkombozi ni propaganda
Wewe na WanaMbeya wakina nani? Mimi na rafiki zangu kama 100 tutamchagua Dr Tulia kuwa Mbunge wetu 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana Nguvu Nzito inatoa mpaka Sugu πππππ , Sugu anamuweza pekee ChitambalaMkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
ShitambalaAna Nguvu Nzito inatoa mpaka Sugu πππππ , Sugu anamuweza pekee Chitambala