Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.

Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.

Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.

View attachment 1278080
Kweli kamanda!
Ila muambie Tundu tukitaka kuchukua jimbo tena asijethubutu kueleza sera za ushoga.
WanaMbeya Ushoga kwao ni ABOMINATION.
Walimsikia wakati akielezea sera hii kwenye Hard talk na juzi wamarekani wamemkquote alivyoenda kwao kulalamika kuwa JPM anakiuka haki za MASHOGA.
 
Huu uzi unamuelezea Tulia kutokubaliwa hapa mjini mbeya, ukitaka habari za ushoga anzisha uzi wako
Kweli kamanda!
Ila muambie Tundu tukitaka kuchukua jimbo tena asijethubutu kueleza sera za ushoga.
WanaMbeya Ushoga kwao ni ABOMINATION.
Walimsikia wakati akielezea sera hii kwenye Hard talk na juzi wamarekani wamemkquote alivyoenda kwao kulalamika kuwa JPM anakiuka haki za MASHOGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani mwana mbeya nikiwa hapa shynyanga nawaunga mkono twende na sugu.
 
Jiandaeni kisaikolojia yasije yakatokea ya kutokea mkaingia na matokeo mkononi Kama Simba then mkabaki kulia tu
 
Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
Ana Nguvu Nzito inatoa mpaka Sugu 😆😆😆😆😆 , Sugu anamuweza pekee Chitambala
 
Tulia ameajiri watu wakumpigia kelele humu. Mbeya huifahamu, kwanza ulivyoonyesha tabia zisizo za kinyakyusa.

Rais wenu mwenyewe hapati kura Mbeya Sasa wewe Ni nani tukupogie kura.

Wana ccm Mbeya mtapoteza Jimbo ahsubuhi mkimpitisha huyo betina. Bora mumlete Dada yetu mrembo asiyekuwa na makuu Marry Mwanjelwa, mtoto wa mjini, babu yake mwanzishi wa kitongoji maarufu Cha Mwanjelwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom