Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
"Bi Tukinao" kweli tumpe kura kwa unyama aliofanyia wapinzani?Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
Yupo likizoBia yetu njoo huku dadaako anavuliwa nguo
Semaa utakiii wew ....usitujumuishe na wengineeee ..chiziiii weweSisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
sasa kitu kikichokwa tangu 2015 na bado kipo tu 2020 unauliza inakuaje??Mwaka 2010 sugu alipita kwa sababu watu walimchoka yule mzee mpesya(Kama sijakosea jina) wa ccm na 2015 ccm ilikuwa imechokwa,2020...?
Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
Nawapongeza sana wananchi wa Mikoa ya Mbeya, Kilimanjaro hasa pale Moshi mjini, Arusha na Pemba huku kwetu Visiwani.
Hakika wana upeo mkubwa sana wa Siasa za Vyama Vingi.
Kama mikoa yote ingekuwa na wananchi wenye mitizamo ya siasa kama ilivyo katika hiyo mikoa,
Hakika Vyama tawala vingekuwa na Adabu kwa wananchi wake.
PONGEZI KWENU WANANCHI WA MBEYA, ARUSHA, MOSHI, NA PEMBA.
NINYI MMEPEVUKA KI DEMOCRASIA.
Baba Yetu Uliye Mbinguni Jina Lako Litukuzwe, Ufalme Wako na Utufikie, Ili Tujitambue kama Wanavyojitambua Wananchi Wa hiyo Mikoa Hapo Juu.
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Wanaoshawishika ni wananchi wa mbeya,wewe upo na mtandaoni mwenzio yupo field,hapo je?Ushawishi up kamshawishi nani na wapi walipo shawishika
Yangu na yako machoVyama pinzani vilipo anzishwa mbeya mjini walichagua mbunge Wa chama gani?
Mwaka huu yule dada atapita kwa kishindo kama sio muungurumo kabisasasa kitu kikichokwa tangu 2015 na bado kipo tu 2020 unauliza inakuaje??
Tumeambiwa tume ni huru na yahaki.Sio lolote linaweza tokea lipo la kutokea ni kutangazwa kwa nguvu
naishi mbeya naifahamu mbeya nisehemu gani walipo shawishikaWanaoshawishika ni wananchi wa mbeya,wewe upo na mtandaoni mwenzio yupo field,hapo je?
Yangu na yako macho
Unaishi mbeya ipi na hujui umashuhuri wa huyu dada?,nakuhakikishia uzi huu utakuwa shuhuda baina yetu.naishi mbeya naifahamu mbeya nisehemu gani walipo shawishika