Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
"Bi Tukinao" kweli tumpe kura kwa unyama aliofanyia wapinzani?Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
Alikuwa anamshauri JPM kuongoza kuwafunga wapinzani kweli?
Kwanza hata sura ya kuweka kwenye posters hana.