Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.

Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.

Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.

View attachment 1278080
"Bi Tukinao" kweli tumpe kura kwa unyama aliofanyia wapinzani?
Alikuwa anamshauri JPM kuongoza kuwafunga wapinzani kweli?
Kwanza hata sura ya kuweka kwenye posters hana.
 
"Bi Tukinao" kweli tumpe kura kwa unyama aliofanyia wapinzani?
Alikuwa anamshauri JPM kuongoza kuwafunga wapinzani kweli?
Kwanza hata sura ya kuweka kwenye posters hana.
Kwa mbeya ahesabu maumivu
 
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.

Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.

Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.

View attachment 1278080
Semaa utakiii wew ....usitujumuishe na wengineeee ..chiziiii wewe
 
Mwaka 2010 sugu alipita kwa sababu watu walimchoka yule mzee mpesya(Kama sijakosea jina) wa ccm na 2015 ccm ilikuwa imechokwa,2020...?
sasa kitu kikichokwa tangu 2015 na bado kipo tu 2020 unauliza inakuaje??
 
Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.

Sio lolote linaweza tokea lipo la kutokea ni kutangazwa kwa nguvu
 
Mi nasikitika tu kuwa Wanambeya huwa tunapata watu wa hovyo sana. Kwa miaka 10 iliyopita tuliongozwa na viongozi
1- Wasio na vision
2- Elimu ndogo
3- Exposure ndogo
4- kupenda maendeleo binafsi kuliko ya mji( jiji) letu
5- sera za uwekezaji mbovu

sasa ni wajibu wetu kuchagua viongozi makini watakaobadilisha upepo 2020-2025. Lakini naona tunarudi kulekule tulikotoka yaani tunashabikia siasa za vyama kuliko maendeleo.

mambo yaliyonisikitisha ni haya

1- Tumepigwa jengo la abiria uwanja wa ndege Songwe. Hela ilitolewa toka 2013 lakini mpaka 2019 lilikua halijakamilika. Sijui kama mpaka sasa kama limekamilika.

2- Tumepigwa soko la Mwanjelwa na mpaka sasa ni white elephant. haiingii akilini kabisa unajenga soko la kisasa halafu unaruhusu watu kupanga bidhaa nje.

3- kama haitoshi mnakubaliana na Tulia kuugeuza uwanja wa ndege wa zamani kuwa eneo la wajasiriamali wakati masoko rasmi hayana watu.

4- 2010- 2015 Mbeya ilistawi sana na watu walianza kuwekeza ila 2015-2020 tulisimama na maendeleo yamekua kiduchu mpaka tunapitwa na Iringa. Sijui shida iko wapi?

5- Tunaelekea kufeli tena uwekezaji mkubwa soko la uhindini. Yaani tupotupo tu kama mapunguani hivi.

6- kama haitoshi tumepewa mkuu wa mkoa wa kufanana na sisi

Mimi kata yangu hakuna cha maana tulichofanya maana tumeshindwa hata kujenga ofisi. Na diwani kahamia CCM kuonyesha kwamba bado ana nia ya kuendelea.

Haijalishi nani atakua mbunge kati ya Tulia na Sugu ila tukichagua madiwani wabovu basi tutaendelea kuisoma namba.
 
Nawapongeza sana wananchi wa Mikoa ya Mbeya, Kilimanjaro hasa pale Moshi mjini, Arusha na Pemba huku kwetu Visiwani.
Hakika wana upeo mkubwa sana wa Siasa za Vyama Vingi.
Kama mikoa yote ingekuwa na wananchi wenye mitizamo ya siasa kama ilivyo katika hiyo mikoa,
Hakika Vyama tawala vingekuwa na Adabu kwa wananchi wake.
PONGEZI KWENU WANANCHI WA MBEYA, ARUSHA, MOSHI, NA PEMBA.
NINYI MMEPEVUKA KI DEMOCRASIA.
Baba Yetu Uliye Mbinguni Jina Lako Litukuzwe, Ufalme Wako na Utufikie, Ili Tujitambue kama Wanavyojitambua Wananchi Wa hiyo Mikoa Hapo Juu.
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Semaa utakiii wew ....usitujumuishe na wengineeee ..chiziiii wewe
Naona meseji OK mekuingia kumoyo ila ukweli ndiyo huo na wewe endelea kumpigia kura Ndugaye huko kwenu dodoma
 
Tunashukuru mkuu kwa pongezi zako na sisi wana wa mbeya tulisha amua kuifuta ccm na watu wake
Nawapongeza sana wananchi wa Mikoa ya Mbeya, Kilimanjaro hasa pale Moshi mjini, Arusha na Pemba huku kwetu Visiwani.
Hakika wana upeo mkubwa sana wa Siasa za Vyama Vingi.
Kama mikoa yote ingekuwa na wananchi wenye mitizamo ya siasa kama ilivyo katika hiyo mikoa,
Hakika Vyama tawala vingekuwa na Adabu kwa wananchi wake.
PONGEZI KWENU WANANCHI WA MBEYA, ARUSHA, MOSHI, NA PEMBA.
NINYI MMEPEVUKA KI DEMOCRASIA.
Baba Yetu Uliye Mbinguni Jina Lako Litukuzwe, Ufalme Wako na Utufikie, Ili Tujitambue kama Wanavyojitambua Wananchi Wa hiyo Mikoa Hapo Juu.
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mimi nawashauri watu wa Mbeya wachague mtu mwenye maono ya kuitoa MBEYA kutoka mahali fulani kwenda mahali pengine ambapo ni bora zaidi. mtu mwenye uwezo wa kuzisemea changamoto za wana Mbeya.
 
Inabidi tuchague tunataka maendeleo au hatutaki. Maana miradi ya maendeleo haipelekwi eti kwa sababu tulichagua mbunge wa upinzani.
labda tumpe tu huyo tulia angalau jiji linoge.
 
Tangu lini bwashee umekuwa mwana mbeya? Mambo ya mbeya waachie wenyewe aisee
 
Back
Top Bottom