G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Hao ma ccm wajiandae kwenda kugombea kupitia jimbo la magogoni
Hamna, nimewaza tu kwa sauti mkuuDuuu pm? Kwa sifa zipi haswa?
Ndio kigumu kama shuleni kwetu tunatumia lugha ya asili kiswahili tutakijuajeHivi kiswahili ndiyo kigumu hivyo?
Mkuu utakuwa unafanya masihara kama utalinganisha... UCHUMI... wa Kenya na wa Tanzania
Ngumu Mkuu, Nakukatalia. Ngoja utaona! Labda njia Pekee watakayoweza ni Kwa Kumwaga damu na Kumtangaza Mshindi hapo sina Ubishi.Kuna maandiko kwenye vitabu vya dini husema "rushwa hupofusha macho"kwa mantiki hiyo pesa zake huenda zikampa ubunge kwa kishindo.
Hivi unayajua majimbo ya uchaguzi ya Mbeya na Songwe?Kutenda haki, msingekuwa mnachunana ngozi, MPUMBAVU we!
Sugu hatukumchagua ili akaonyeshe DOLE LA KATI bungeni ,,
Ebu nambie amefanya nini sugu mda wote alio kaa madarakani
Kwa nature ya wanaume wa Mbeya acheni tu Dada waongoze, coz hata familia zenu watawala ni wanawake.
mmawia tuache ngonjera za propaganda, msingi sekondari nimesoma kenya, asikudanganye mtu kuwa hao watu wana maisha mazuri, hali ni ngumu huko vibaya mno, hatuchekani, usifikie Nairobi uksona majengo ukasema hawa wstu wako vzri, tembelea hadi vijijini huko ndo utajua hatuchekani, nenda hadi turkana huko, hlf uje uniambie mkuu
nitajie faida 2 tu za uongo ulizopata tangu uanze kuutendaMkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
Mkuu sio uongo,utakuja kumbuka huu uzi,maana dada yule anazidi kukubalika Mbeya na mpaka mwakani atakuwa anamalizia tu maeneo machache kukubalika.nitajie faida 2 tu za uongo ulizopata tangu uanze kuutenda
Mkuu sio uongo,utakuja kumbuka huu uzi,maana dada yule anazidi kukubalika Mbeya na mpaka mwakani atakuwa anamalizia tu maeneo machache kukubalika.
Nina chanzo chenye weledi wa hali ya juu.Wacha kudanganya watu sisi wengine tupo hapa mbeya na tunafuatilia mambo ya siasa kila siku
Umenijibu vizur sana bila jaziba wala nini.Mkuu hili halina ukweli sana.
Wanaume makini tupo na wanaume aina unayo sema watakuwepo labda lkn sio kwa kiwango chako.