Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

Uchaguzi 2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

2020 imefika ntafurahi pia kma utafufua huu uzi kwenye makabrasha ya jf mkuu, niko mbeya kwa ukweli, Sugu inabidi asibweteka haka kamama kanazunguka kweli na kamewakamata kwrli akina mama
Hao ma ccm wajiandae kwenda kugombea kupitia jimbo la magogoni
 
mmawia tuache ngonjera za propaganda, msingi sekondari nimesoma kenya, asikudanganye mtu kuwa hao watu wana maisha mazuri, hali ni ngumu huko vibaya mno, hatuchekani, usifikie Nairobi uksona majengo ukasema hawa wstu wako vzri, tembelea hadi vijijini huko ndo utajua hatuchekani, nenda hadi turkana huko, hlf uje uniambie mkuu
Mkuu utakuwa unafanya masihara kama utalinganisha... UCHUMI... wa Kenya na wa Tanzania
 
Kuna maandiko kwenye vitabu vya dini husema "rushwa hupofusha macho"kwa mantiki hiyo pesa zake huenda zikampa ubunge kwa kishindo.
Ngumu Mkuu, Nakukatalia. Ngoja utaona! Labda njia Pekee watakayoweza ni Kwa Kumwaga damu na Kumtangaza Mshindi hapo sina Ubishi.
 
Mkuu hili halina ukweli sana.
Wanaume makini tupo na wanaume aina unayo sema watakuwepo labda lkn sio kwa kiwango chako.
Kwa nature ya wanaume wa Mbeya acheni tu Dada waongoze, coz hata familia zenu watawala ni wanawake.
 
Wacha kazunguke lkn kura hakapati
2020 imefika ntafurahi pia kma utafufua huu uzi kwenye makabrasha ya jf mkuu, niko mbeya kwa ukweli, Sugu inabidi asibweteka haka kamama kanazunguka kweli na kamewakamata kwrli akina mama
 
Huwezi kuwalinganisha na watanzania mkuu
mmawia tuache ngonjera za propaganda, msingi sekondari nimesoma kenya, asikudanganye mtu kuwa hao watu wana maisha mazuri, hali ni ngumu huko vibaya mno, hatuchekani, usifikie Nairobi uksona majengo ukasema hawa wstu wako vzri, tembelea hadi vijijini huko ndo utajua hatuchekani, nenda hadi turkana huko, hlf uje uniambie mkuu
 
Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
nitajie faida 2 tu za uongo ulizopata tangu uanze kuutenda
 
Kanunuliwa suti kama hiyo
nitajie faida 2 tu za uongo ulizopata tangu uanze kuutenda
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Mkuu navyofahamu wewe sio mkazi wa Mbeya.
 
Wacha kudanganya watu sisi wengine tupo hapa mbeya na tunafuatilia mambo ya siasa kila siku
Mkuu sio uongo,utakuja kumbuka huu uzi,maana dada yule anazidi kukubalika Mbeya na mpaka mwakani atakuwa anamalizia tu maeneo machache kukubalika.
 
Mkuu hili halina ukweli sana.
Wanaume makini tupo na wanaume aina unayo sema watakuwepo labda lkn sio kwa kiwango chako.
Umenijibu vizur sana bila jaziba wala nini.
 
Back
Top Bottom