Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
Mwambie huyu ndugu naona yupo gizani. Anajidanganya kwamba CCM inapendwa lakini wenye chama chao wanajua kabisa CCM haipendwi ndio maana wanahofu kwenye sanduku la kura. Najiuliza, kama CCM inajiamini na kwamba watu wanaipenda, hofu ya uchaguzi huwa inatoka wapi? Hawataki mgombea wa upinzani ashindane na mgombea wa CCM kwenye kura. Tatizo ni nini?Kwa sasa ndiyo watu wameichoka sana ccm kuliko wakati mwingine wowote
Ndio huyo mtaletewa labda asichukue formSisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
Hatuwezi kuwakilishwa na kinyago hiki wana Mbeya, tuna warembo wakutisha wanaopendeza sana. HUYU HATUMTAKISisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
Ushawishi kwa nani? Huyu anaweza kumshawishi mumewe tu amwingilie na ubaya alionao, mwanamke gani ana sura utadhani anakula ndimu ??Mkuu ushawishi wa huyu dada Mbeya unaongezeka Kila uchao na Kama upo karibu na sugu mwambie asipoteze pesa nyingi kwa kampeni,afanye maisha maana lolote laweza tokea.
Ushawishi kwa nani? Huyu anaweza kumshawishi mumewe tu amwingilie na ubaya alionao, mwanamke gani ana sura utadhani anakula ndimu ??
Na kweli duniani kuna uchawi, hivi aliolewaje huyu?
Mwambie huyu ndugu naona yupo gizani. Anajidanganya kwamba CCM inapendwa lakini wenye chama chao wanajua kabisa CCM haipendwi ndio maana wanahofu kwenye sanduku la kura. Najiuliza, kama CCM inajiamini na kwamba watu wanaipenda, hofu ya uchaguzi huwa inatoka wapi? Hawataki mgombea wa upinzani ashindane na mgombea wa CCM kwenye kura. Tatizo ni nini?
I hate this broad to death!
Yaani namchukia!
Limefanya upumbavu mkubwa bungeni,halafu leo linazunguka kuji-promote,to who?
Nobody needs you,you are useless!
Akagombee kwenye jimbo lake la magogoniNa hako kamama kamefanya nini muda wote kapo bungeni au serikalini?
Hongo/rushwa/ kampeni kabla ya wakatiJe Kama ccm wameichoka,na yeye wamemchoka?maana nasikia wanambeya wananufaika kabla hajawa mbunge wao kwa misaada lukuki.
Ukweli mchungu ni kuwa anakubalika zaidi kuliko sugu na mwanjelwa.Ushawishi kwa nani? Huyu anaweza kumshawishi mumewe tu amwingilie na ubaya alionao, mwanamke gani ana sura utadhani anakula ndimu ??
Na kweli duniani kuna uchawi, hivi aliolewaje huyu?
Siyo rushwa bali hisani kwa wanambeya.Hongo/rushwa/ kampeni kabla ya wakati
Kuleni pesa hizo,kura siri ya mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya mada.WanaMbeya ni watu wema sana.Unataka kusema Mh.Sugu anahusika na kutenda huo uhayawani?Serikali imeshindwa kulinda watu wake na mnalalamikia wapinzani?Huyo Tulia anaenda kufanyaje akiwa Mbunge wa Mbeya?Kutenda haki, msingekuwa mnachunana ngozi, MPUMBAVU we!
Wacha kujidanganya!! Anakubalika kwa kipimo gani? Umewahi kuwashindanisha kwenye sanduku la kura ?Ukweli mchungu ni kuwa anakubalika zaidi kuliko sugu na mwanjelwa.
Sura ni uumbaji wa Mungu,Kuna msemo wa kichina kuwa uzuri wa kitu huwa machoni pa mtazamaji kwako mbaya ila kwa wengine ni bonge la mlimbwende,na kuhusu kukubalika hauna haja ya kutumia elimu kubwa kujua hilo kwani hata watoto wadogo wa Mbeya wanalijua hilo.Wewe endelea kupiga kelele mwenzio anazidi kuchanja mbuga.Wacha kujidanganya!! Anakubalika kwa kipimo gani? Umewahi kuwashindanisha kwenye sanduku la kura ?
Hatuwezi kuwa na mwakilishi mwenye sura kama kinyago
Wandali Hamna akili.Kule kwenu mmechagua ki mama hakijui kitu.kazi kusinzia tuu bungeniWana mbeya mnamatatizo kweli ila mungu awasaidie tu
Siasa za Leo zimekuwa kama kubeti tu ukimpinga mtu tu unaambiwa unatumiwa
Kwa Leo niishie hapa
Wewe ni mundali??maana ni zero brain nyieSura ni uumbaji wa Mungu,Kuna msemo wa kichina kuwa uzuri wa kitu huwa machoni pa mtazamaji kwako mbaya ila kwa wengine ni bonge la mlimbwende,na kuhusu kukubalika hauna haja ya kutumia elimu kubwa kujua hilo kwani hata watoto wadogo wa Mbeya wanalijua hilo.Wewe endelea kupiga kelele mwenzio anazidi kuchanja mbuga.
Ushawishi kwa nani? Huyu anaweza kumshawishi mumewe tu amwingilie na ubaya alionao, mwanamke gani ana sura utadhani anakula ndimu ??
Na kweli duniani kuna uchawi, hivi aliolewaje huyu?