Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Sisi wana Mbeya tumeyaona anayoyafanya akiwa bungeni.
Sisi tumeshazoea kutenda haki na hivyo basi hatupo tayari kuongozwa na mtu asiye ipenda haki maana bila haki hakuna maendeleo.
Mbunge wetu tuliye naye anatutosha.
View attachment 1278080
I hate this broad to death!
Yaani namchukia!
Limefanya upumbavu mkubwa bungeni,halafu leo linazunguka kuji-promote,to who?
Nobody needs you,you are useless!