Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Huna unalojua wewe. Mimi nimesoma na kuishi Mbeya kwa muda naijua sana
Wewe unesoma na kuishi Mbeya. Mimi nimezaliwa Mbeya na Mbeya ndiyo kwetu na vitega uchumi ninavyo. Tumechoka kuwa mkoa unaobezwa kwa kuwa na maendeleo duni, lazima tuamke sasa
 
Mkuu wengine walishtuka zamani, tatizo ni vichwa kama Sugu, hawajui kesho yao.
Mbowe hebu tupe jibu, lini ulifanya maandamano ya CHADEMA Moshi mjini?
 
umesinzia mzee ,
 


Sasa chankujiuliza kwanini wapinzani wanapendwa kwenye miji inayo endelea? Maana yake ni nini ni kwamba wakielimika wanataka haki. Hata Dar uchaguzi huru watachagua wapinzani nenda kariakoo kaulize.

Wakushangaa sio watu wa Mbeya ni kujishangaa mwenyewe inawezekana wewe ndiye bado mshamba shamba wa kupenda kutawaliwa na watu na hujiamini
 
Asante Mkuu kwa kuiona point yangu, ila naona kuna vijana wazembe humu hawaioni Benny Haraba , boniuso , CHIEF PRIEST na Southern Highland
Human herding is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives and fear of their leaders, (unyumbu a.k.a uchawa), the end result will be ostracism, unyumbu nitabia ya walio pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza, kulitumikia kundi fulani ama uoga kwa viongozi wao
 
Wewe unesoma na kuishi Mbeya. Mimi nimezaliwa Mbeya na Mbeya ndiyo kwetu na vitega uchumi ninavyo. Tumechoka kuwa mkoa unaobezwa kwa kuwa na maendeleo duni, lazima tuamke sasa
Kuna watu hawawezi kufukiri zaidi ya urefu wa pua zao.
 
Mkuu ni mkoa upi ulioendelea sana kwasababu hawaizingatii CHADEMA au kwasababu wanaikubali sana CCM?
 
Wewe unesoma na kuishi Mbeya. Mimi nimezaliwa Mbeya na Mbeya ndiyo kwetu na vitega uchumi ninavyo. Tumechoka kuwa mkoa unaobezwa kwa kuwa na maendeleo duni, lazima tuamke sasa
Sasa kama umechoka na kwa muda serikali imeshindwa kuleta maendeleo huo mkoa unafanya nini sasa?
 
Usipende kutumia neno "Mbona" wakati kuna hoja hujajibu, kwa nini wasiende Moshi???
Kweni 'sativa' nae alitumia "Mbona" mpaka akatetekwq kupigwa risasi na kutupwa Porini KATAVI?!
 
Nyie mijitu mijinga mijinga mnao ishi nyumba za matofali ya tope shida sana.
Hamjui maendeleo.
Usikute umekalia kitu kigumu chenye ncha butu kikiwa kimezama kabisa maungoni mwako. Mimi hata hiyo nyumba ya matope siijui ikoje sijazaliwa wala kuishi huko kwenu madongo kuinama, kama una shida ya mahali pa kuishi njoo nikuhifadhi kwenye servant quarter.Pumbavu kabisa wewe
 
Kwanini sasa kama wapinzani wanapendwa wasianze majiji yao? Maana Mbowe asili yake Hai na Moshi. Sugu wa Ludewa na Lissu Singida.

Wameamua tu kutuharibia jiji letu la Mbeya. Pathetic
 
Hata wafuasi wa CHADEMA ni nyumbu if we have to dwell in your definition of human herding.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…