Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
- Thread starter
- #101
Wewe unesoma na kuishi Mbeya. Mimi nimezaliwa Mbeya na Mbeya ndiyo kwetu na vitega uchumi ninavyo. Tumechoka kuwa mkoa unaobezwa kwa kuwa na maendeleo duni, lazima tuamke sasaHuna unalojua wewe. Mimi nimesoma na kuishi Mbeya kwa muda naijua sana