Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Mkuu ni mkoa upi ulioendelea sana kwasababu hawaizingatii CHADEMA au kwasababu wanaikubali sana CCM?
Dodoma huwezi kufananisha na Mbeya. Iringa ina mpangilio wa majengo mazuri mengi na barabara zinazopitika nyingi kuliko Mbeya.

Morogoro, Tanga, Arusha, Mwanza zote ziko above Mbeya
 
Sasa kama umechoka na kwa muda serikali imeshindwa kuleta maendeleo huo mkoa unafanya nini sasa?
Najiletea maendeleo yangu binafsi. Nina miradi naajiri vijana wazembe kama wewe 30 na kuwaelimisha juu ya hatma za maisha yao.
 
Usipende kutumia neno "Mbona" wakati kuna hoja hujajibu, kwa nini wasiende Moshi???
Yed Mkuu nisaidie hilo swali? Why always Mbeya ? Kwa hiyo Mbeya ndiyo kuna misukule ya CHADEMA?
 
Kweni 'sativa' nae alitumia "Mbona" mpaka akatetekwq kupigwa risasi na kutupwa Porini KATAVI?!
Sativa alikuwa ana deal kimapenzi na mke wa Polisi. Alipata mshahara wake
 
Sativa alikuwa ana deal kimapenzi na mke wa Polisi. Alipata mshahara wake
Ni vizuri ungeangalia akihadithia jinsi alivyotekwa na hadi kupigwa risasi,kuna maswali alikuwa akiulizwa, kusema kuwa alishikwa UGONI utakuwa humtendei HAKI.
 
Nyie mijitu mijinga mijinga mnao ishi nyumba za matofali ya tope shida sana.
Hamjui maendeleo.
Usikute umekalia kitu kigumu chenye ncha butu kikiwa kimezama kabisa maungoni mwako. Mimi hata hiyo nyumba ya matope siijui ikoje sijazaliwa wala kuishi huko kwenu madongo kuinama, kama una shida ya mahali pa kuishi njoo nikuhifadhi kwenye servant quater
 
Kwakifupi kuna wajinga wanataka ufikiri,(tufikiri wanavyotaka wao), ngimba tulibapalapalaa, kuchelewa kujua siyo ujinga ila kutotaka kujua ndiyo ujinga
 
Iko hivi mkuu
 

Attachments

  • IMG-20191109-WA0000.jpg
    35.8 KB · Views: 2
Kwakifupi kuna wajinga wanataka ufikiri,(tufikiri wanavyotaka wao), ngimba tulibapalapalaa, kuchelewa kujua siyo ujinga ila kutotaka kujua ndiyo ujinga
The reality is this, we have silent, society (deprived society), under CCM regime deliberately trained the right not to ask,(express), though entrusted people are advantageous to behave towards herding behavior, thus conflict of interest
 
Kwanini sasa kama wapinzani wanapendwa wasianze majiji yao? Maana Mbowe asili yake Hai na Moshi. Sugu wa Ludewa na Lissu Singida.

Wameamua tu kutuharibia jiji letu la Mbeya. Pathetic
Mbeya ni ya kila Mtanzania. Wacha mtazamo mgando.
 
Niliwahi kudhani una tuakili kidogo Kumbe ni mbojo kabisa.
 
Mbeya ni watu wenye kumbukumbu nzuri tangu mzaa NZI bar alipokopehwa hapa Tanganyika akawekwa kuwa sultan ingawa kwao mwanamke hubaki jikoni,waulize wenyewe masheikh.
 
Najiletea maendeleo yangu binafsi. Nina miradi naajiri vijana wazembe kama wewe 30 na kuwaelimisha juu ya hatma za maisha yao.
We kalaghabaho kalale mbele uwalambe nyayo maboss waliokutuma. Huna uwezo wa kuajiri mtu, mimi nafanya kazi halali inanitosheleza kiasi mimi na wategemezi wangu sihitaji kumlilia mtu na kushikiwa akili kipumbavu kama wewe.

Ungekua umeajiri watu usingepoteza muda na hii kazi ya uchawa.
 
Mbeya sometimes wanakuwa wapuuzi sana,wewe MTU keshakuambia jina lake ni SUGU,Sasa wao wanathubutu vip kumchagua MTU SUGU awe MBUNGE wao?
 
Sikukosea kukuita kuwa mmoja wa mijitu mijinga mijinga na ndiyo eti mnataka mkabidhiwe nchi.
Mkabidhiwe kwa mtaji wa mawazo ya makalio?
Mnatakiwa mkaandamane Moshi.
 
Sikukosea kukuita kuwa mmoja wa mijitu mijinga mijinga na ndiyo eti mnataka mkabidhiwe nchi.
Mkabidhiwe kwa mtaji wa mawazo ya makalio?
Mnatakiwa mkaandamane Moshi.
Hivi maneno machafu uliyonitolea wakati nilikuwa sijajibishana na wewe ulitegemea nikujibu vipi? Au ingekuwa wewe from no where nimeku quote kama ulivyofanya wewe kwangu ungenijibu vipi? Au unaona wewe unahaki ya kunishambulia bila sababu yoyote na mimi nikae kimya who do you think you are?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…