Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
TrueHata wafuasi wa CHADEMA ni nyumbu if we have to dwell in your definition of human herding.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueHata wafuasi wa CHADEMA ni nyumbu if we have to dwell in your definition of human herding.
Dodoma huwezi kufananisha na Mbeya. Iringa ina mpangilio wa majengo mazuri mengi na barabara zinazopitika nyingi kuliko Mbeya.Mkuu ni mkoa upi ulioendelea sana kwasababu hawaizingatii CHADEMA au kwasababu wanaikubali sana CCM?
Ni vizuri ungeangalia akihadithia jinsi alivyotekwa na hadi kupigwa risasi,kuna maswali alikuwa akiulizwa, kusema kuwa alishikwa UGONI utakuwa humtendei HAKI.Sativa alikuwa ana deal kimapenzi na mke wa Polisi. Alipata mshahara wake
Wanaahirisha kufikiri a.k.a kujizima dataKuna watu hawawezi kufukiri zaidi ya urefu wa pua zao.
Usikute umekalia kitu kigumu chenye ncha butu kikiwa kimezama kabisa maungoni mwako. Mimi hata hiyo nyumba ya matope siijui ikoje sijazaliwa wala kuishi huko kwenu madongo kuinama, kama una shida ya mahali pa kuishi njoo nikuhifadhi kwenye servant quaterNyie mijitu mijinga mijinga mnao ishi nyumba za matofali ya tope shida sana.
Hamjui maendeleo.
Kwakifupi kuna wajinga wanataka ufikiri,(tufikiri wanavyotaka wao), ngimba tulibapalapalaa, kuchelewa kujua siyo ujinga ila kutotaka kujua ndiyo ujingaUsikute umekalia kitu kigumu chenye ncha butu kikiwa kimezama kabisa maungoni mwako. Mimi hata hiyo nyumba ya matope siijui ikoje sijazaliwa wala kuishi huko kwenu madongo kuinama, kama una shida ya mahali pa kuishi njoo nikuhifadhi kwenye servant quater
Iko hivi mkuuSasa chankujiuliza kwanini wapinzani wanapendwa kwenye miji inayo endelea? Maana yake ni nini ni kwamba wakielimika wanataka haki. Hata Dar uchaguzi huru watachagua wapinzani nenda kariakoo kaulize.
Wakushangaa sio watu wa Mbeya ni kujishangaa mwenyewe inawezekana wewe ndiye bado mshamba shamba wa kupenda kutawaliwa na watu na hujiamini
The reality is this, we have silent, society (deprived society), under CCM regime deliberately trained the right not to ask,(express), though entrusted people are advantageous to behave towards herding behavior, thus conflict of interestKwakifupi kuna wajinga wanataka ufikiri,(tufikiri wanavyotaka wao), ngimba tulibapalapalaa, kuchelewa kujua siyo ujinga ila kutotaka kujua ndiyo ujinga
Mbeya ni ya kila Mtanzania. Wacha mtazamo mgando.Kwanini sasa kama wapinzani wanapendwa wasianze majiji yao? Maana Mbowe asili yake Hai na Moshi. Sugu wa Ludewa na Lissu Singida.
Wameamua tu kutuharibia jiji letu la Mbeya. Pathetic
AiseeDodoma huwezi kufananisha na Mbeya. Iringa ina mpangilio wa majengo mazuri mengi na barabara zinazopitika nyingi kuliko Mbeya.
Morogoro, Tanga, Arusha, Mwanza zote ziko above Mbeya
Niliwahi kudhani una tuakili kidogo Kumbe ni mbojo kabisa.Mwanzilishi wa CHADEMA ni Edwin Mtei na nyumbani kwake ni Tengeru, Arusha. Mwenyekiti wa muda wote wa CHADEMA ni Freeman Mbowe na kwao ni Hai, Kilimanjaro.
Katibu Mkuu wa CHADEMA ni John Mnyika kutoka Singida lakini mama yake ni wa Moshi Vijijini. Makamu Mwenyekiti Lissu kwao ni Singida.
Lakini kila wakitaka kutest mitambo ya siasa zao za vurugu wanakuja Mbeya.
Mbeya kwa kipindi cha Sugu 2010-20 pamekuwa ni mahali pa migomo ya biashara na kukosa maendeleo.
Wana Mbeya sasa hivi jiji lenu limeteremka hadhi kabisa kwa sababu wamegundua kuwa kuna WAJINGA wengi. Ukiwaambia maandamano wanakuja.
Jiulize kwa nini wasipeleke Moshi? Wanajuwa Moshi watu ni wajanja hawatakubali kuacha kazi zao na kwenda kuunga mkono upuuzi.
Mbeya ni watu wenye kumbukumbu nzuri tangu mzaa NZI bar alipokopehwa hapa Tanganyika akawekwa kuwa sultan ingawa kwao mwanamke hubaki jikoni,waulize wenyewe masheikh.Mbeya bado manyumbu ngoja kwanza wagonganishwe kama misukuli..watakuja kusanuka ila ni baadaye kidogo...chedema huku kaskazini watu wameshawastukia..ni kampuni iliyovaa koti la chama cha siasa....ina ukabila hapa Arusha kama wewe sio mchagga hauteuliiwa kugombea udiwani na nafasi nyeti za uongozi wakati hspa kuna makabila mengi kama Waarusha,wameru,wamasai,wasomali,warangi n.k
We kalaghabaho kalale mbele uwalambe nyayo maboss waliokutuma. Huna uwezo wa kuajiri mtu, mimi nafanya kazi halali inanitosheleza kiasi mimi na wategemezi wangu sihitaji kumlilia mtu na kushikiwa akili kipumbavu kama wewe.Najiletea maendeleo yangu binafsi. Nina miradi naajiri vijana wazembe kama wewe 30 na kuwaelimisha juu ya hatma za maisha yao.
Mbeya sometimes wanakuwa wapuuzi sana,wewe MTU keshakuambia jina lake ni SUGU,Sasa wao wanathubutu vip kumchagua MTU SUGU awe MBUNGE wao?Mimi mwenyewe ni mzaliwa wa Mbeya na pia ni historia. Huna cha kumiambia Drifter .
Angalia mikoa ya Miji ya Iringa, Morogoro, ambayo wala siyo Majiji inavyopendeza kwa mpangilio na majengo. Mbeya pamoja na uchumi mkubwa nankuitwa Jiji hapana mvuto.
Sasa hivi hata mkoa wa Njombe ambao umeanza miaka 15 iliyopita utakuja kuipiku Mbeya.
Sifa za kusema Mbeya ndiyo nyumbani kwa upinzani zinawaongezea nini?
Yaani kweli mlimpa Sugu Form IV Failure kura vipindi 2 kuanzia 2010-20, hivi mlikuwa MNAJITAMBUA kweli? Au MLIROGWA
Sasa anawaletea maandamano ili mumchague tena mwaka 2025. Nyambaaaaaf kabisa nyie
Sikukosea kukuita kuwa mmoja wa mijitu mijinga mijinga na ndiyo eti mnataka mkabidhiwe nchi.Usikute umekalia kitu kigumu chenye ncha butu kikiwa kimezama kabisa maungoni mwako. Mimi hata hiyo nyumba ya matope siijui ikoje sijazaliwa wala kuishi huko kwenu madongo kuinama, kama una shida ya mahali pa kuishi njoo nikuhifadhi kwenye servant quater
Hivi maneno machafu uliyonitolea wakati nilikuwa sijajibishana na wewe ulitegemea nikujibu vipi? Au ingekuwa wewe from no where nimeku quote kama ulivyofanya wewe kwangu ungenijibu vipi? Au unaona wewe unahaki ya kunishambulia bila sababu yoyote na mimi nikae kimya who do you think you are?Sikukosea kukuita kuwa mmoja wa mijitu mijinga mijinga na ndiyo eti mnataka mkabidhiwe nchi.
Mkabidhiwe kwa mtaji wa mawazo ya makalio?
Mnatakiwa mkaandamane Moshi.