Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Duu umenikumbusha profesa mihogo, michicha, mieyes, miunga, na minazi kama akili zetu zitaenda huko basi misingi ya baba wa taifa haitakuwepo tena, hahaha napenda matusi mapya kama shati lako au android yakoMbeya sometimes wanakuwa wapuuzi sana,wewe MTU keshakuambia jina lake ni SUGU,Sasa wao wanathubutu vip kumchagua MTU SUGU awe MBUNGE wao?
Hatuwezi pia kufikiri kama wewe kwa kuwa sisi siyo wewe. Bado hujatoa jibu la swali langu. Ni lini ulisikia kuna maandamano Hai au Moshi?Kwakifupi kuna wajinga wanataka ufikiri,(tufikiri wanavyotaka wao), ngimba tulibapalapalaa, kuchelewa kujua siyo ujinga ila kutotaka kujua ndiyo ujinga
Kuna hoja yangu yeyote ambayo umeijibu? Au unafurahi tu kuandika sweeping statements? Hata mimi maweza kuandika trash kama wewe. If you trust that you have grey matter in your medulla let's face each other by counter argumentsNiliwahi kudhani una tuakili kidogo Kumbe ni mbojo kabisa.
Huna kitu pimbi wewe ndiyo maana unadhani wanasiasa watakubasilishia maisha.We kalaghabaho kalale mbele uwalambe nyayo maboss waliokutuma. Huna uwezo wa kuajiri mtu, mimi nafanya kazi halali inanitosheleza kiasi mimi na wategemezi wangu sihitaji kumlilia mtu na kushikiwa akili kipumbavu kama wewe.
Ungekua umeajiri watu usingepoteza muda na hii kazi ya uchawa.
Huo ndiyo upumbavu ambao leo nimeamua niwakumbushe ili wasirudie makosa hayo. Yaani kweli Mbeya ndiyo ya kuwakilishwa ma mvuta bangi, mvaa kata kundu na mtu ambaye alifeli Dorm IV?? What do we gain?Mbeya sometimes wanakuwa wapuuzi sana,wewe MTU keshakuambia jina lake ni SUGU,Sasa wao wanathubutu vip kumchagua MTU SUGU awe MBUNGE wao?
Hili la kutukana mtandaoni ni kosa la Jinai JE HUKUMU YAKE NI KUPIGWA RISASI NA KUTUPWA KATAVI?!Huu ujumbe alikuwa anamtumia nani na kwa sababu gani?
View attachment 30712297View attachment 3071230View attachment 3071231View attachment 3071232
Una maana Moshi hakuna Wanyakyusa? Nashindwa kuelewa una tatizo gani na wachaga?? Kwani kuna zuio kuwa eneo fulani hapa Tanzania ni kwa ajili ya watu fulani tu? Hapa Mwanza makabila yote wako hapa,ukienda Dar es Salaam,Tabora, Arusha ,Tanga, Moshi, Iringa nk ni kwa kila Mtanzania tatizo lako nini brother? Nilitegemea argument kama hii niisikie kwa kina Kibaji au Babu Tale lakini siyo kwa mtu wa level yako. Anyway jijaze chuki tu ni chaguo lako.Mbeya ni kwa kila Mtanzania, Ila Moshi ni kwa wachaga peke yao? Huo ndiyo UJINGA unaotuchelewesha Mbeya.
Lazima tutoke hapo ndiyo mabadiliko tutayaona
Wajanja hawa madogo. Wana kiburi cha fedha betting. Ukienda nao mahakamani wanahonga Hakimu wanakushinda. Hiyo ndiyo dawa yaoHili la kutukana mtandaoni ni kosa la Jinai JE HUKUMU YAKE NI KUPIGWA RISASI NA KUTUPWA KATAVI?!
Ni kwanini asikamatwe na kupandishwa Kizimbani?!
Mkuu kwa kuonyesha njia kagombee wewe .?Wacha wivu wa kishamba huo. Ukabila ni mawazo mgando,wewe wa Mbeya vitega uchumi umeweka Dar unayemtuhumu siye mzawa kaweka vitega uchumi hapo Mbeya anatengeneza ajira kwa wana Mbeya wewe una mlaani huo ni uchawi kabisa. Hivi unawaona watu wa Mbeya waliomchagua kwa kura nyingi wote ni wapumbavu wewe peke yako ndiye una akili? Wacha hizo brother.Huo ndiyo upumbavu ambao leo nimeamua niwakumbushe ili wasirudie makosa hayo. Yaani kweli Mbeya ndiyo ya kuwakilishwa ma mvuta bangi, mvaa kata kundu na mtu ambaye alifeli Dorm IV?? What do we gain?
Kwahiyo Tanzania hakuna the rule of law?!.Wajanja hawa madogo. Wana kiburi cha fedha betting. Ukienda nao mahakamani wanahonga Hakimu wanakushinda. Hiyo ndiyo dawa yao
Anajuwa sababu zote kwa nini walimtupa kule. Muulize mwenyewe Sativa kwa utaratibuHili la kutukana mtandaoni ni kosa la Jinai JE HUKUMU YAKE NI KUPIGWA RISASI NA KUTUPWA KATAVI?!
Ni kwanini asikamatwe na kupandishwa Kizimbani?!
Wewe kama unazijua hebu ziorodheshe hapa.Anajuwa sababu zote kwa nini walimtupa kule. Muulize mwenyewe Sativa kwa utaratibu
Katika kuchangia mada hii hakuna mahali nimetaja Wanyakyusa. Jipange upya.Una maana Moshi hakuna Wanyakyusa? Nashindwa kuelewa una tatizo gani na wachaga?? Kwani kuna zuio kuwa eneo fulani hapa Tanzania ni kwa ajili ya watu fulani tu? Hapa Mwanza makabila yote wako hapa,ukienda Dar es Salaam,Tabora, Arusha ,Tanga, Moshi, Iringa nk ni kwa kila Mtanzania tatizo lako nini brother? Nilitegemea argument kama hii niisikie kwa kina Kibaji au Babu Tale lakini siyo kwa mtu wa level yako. Anyway jijaze chuki tu ni chaguo lako.
Ni kweli nawaona wapumbavu. Ila hata mimi ninavyo vitega uchumi Mbeya Mjini na VijijiniMkuu kwa kuonyesha njia kagombee wewe .?Wacha wivu wa kishamba huo. Ukabila ni mawazo mgando,wewe wa Mbeya vitega uchumi umeweka Dar unayemtuhumu siye mzawa kaweka vitega uchumi hapo Mbeya anatengeneza ajira kwa wana Mbeya wewe una mlaani huo ni uchawi kabisa. Hivi unawaona watu wa Mbeya waliomchagua kwa kura nyingi wote ni wapumbavu wewe peke yako ndiye una akili? Wacha hizo brother.
😂Mbeya hatoki Boy, utuwandie muluki uswe😳
Maandamano yalifanyika Dar,Mwanza,Serengeti,Arusha na Mbeya. Nimetaja Wanyakyusa kwa vile ndiyo Kabila kubwa Mbeya kwa vile nawe ulivyotaja Moshi umetaja Wachaga. Chadema ni ya Watanzania ndiyo maana inaungwa mkono sana kanda ya Nyasa na Serengeti.Katika kuchangia mada hii hakuna mahali nimetaja Wanyakyusa. Jipange upya.
Swali langu ni kwa nini maandamano yafanyike Mbeya wakati wanufaika wakubwa na wamiliki wa Chadema ni Mbowe na Mtei ambao kwao ni Moshi?
Basi elewa Mbeya itajengwa na wazawa na wasiyo wazawa. Hata Dar es Salaam haikujengwa na Wazaramo peke yao bali na watu kutoka kila sehemu ya Tanzania wakiwepo wa kutoka Mbeya. Kama unawaona watu wa Mbeya ni wapumbavu na wao wanakuona wewe pia ni mpumbavu wangekuona wa maana ungekwenda kuomba uongozi ili uwaongoze maana kuongoza ni kuonyesha njia lakini ukiwatukana mitandaoni wanakuona kichaa tu.Ni kweli nawaona wapumbavu. Ila hata mimi ninavyo vitega uchumi Mbeya Mjini na Vijijini