Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Duu umenikumbusha profesa mihogo, michicha, mieyes, miunga, na minazi kama akili zetu zitaenda huko basi misingi ya baba wa taifa haitakuwepo tena, hahaha napenda matusi mapya kama shati lako au android yakoMbeya sometimes wanakuwa wapuuzi sana,wewe MTU keshakuambia jina lake ni SUGU,Sasa wao wanathubutu vip kumchagua MTU SUGU awe MBUNGE wao?