Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Maandamano yalifanyika Dar,Mwanza,Serengeti,Arusha na Mbeya. Nimetaja Wanyakyusa kwa vile ndiyo Kabila kubwa Mbeya kwa vile nawe ulivyotaja Moshi umetaja Wachaga. Chadema ni ya Watanzania ndiyo maana inaungwa mkono sana kanda ya Nyasa na Serengeti.
Nani alikuambia CHADEMA ni ya Watanzania? CHADEMA ni mali ya Familia ya Mtei na mkwewe Freeman Mbowe. Nyie wengine ni wasindikizaji tu au kwa kiingereza cheerleaders

Mbowe ni Mwenyekiti wa chama toka 2003 wakati wa Mkapa. Na kila aliyethubu kugombea alionja sumu kwa kidole.
 
Mimi Mbeya ni kwetu, nina vitege uchumi pia. Uongozi wangu ndiyo kama hivi ninachofanya hapa. Nawafungua macho kwamba MNAPITWA MAENDELEO na mikoa mingine kwa sababu mnaendekeza siasa za mivutano na Serikali.

Wa kuelewa wanaelewa, wasiolewa wagumu kama wewe nao wapo pia.
 
Sawa.
 
Huo ndiyo upumbavu ambao leo nimeamua niwakumbushe ili wasirudie makosa hayo. Yaani kweli Mbeya ndiyo ya kuwakilishwa ma mvuta bangi, mvaa kata kundu na mtu ambaye alifeli Dorm IV?? What do we gain?
Mbeya hapo walifeli sana,na huyo Sugu na CHADEMA.wameshaona kabisa kuwa Tulia hawatamuweza ndiyo maana wameamua Kwa Sasa walete Drama kama hizo za maandamano na kadhalika...

Siasa za hovyo kama hizo zimeshapitwa na wakati.
 
If you do not know where you are going any path, (road), will take you there, watu wa mbeya siyo Mazezeta
Watu wa Mbeya ni MAZEZETA na hili Mbowe analijua.

Nikukumbushe tu kati ya mwaka 2010 na 2020 wakati CHADEMA ilikuwa na viti vingi bungeni huku ikiwa na Mbeya ikiwa na wabunge wa kuchaguliwa wawili (Silinde & Sugu), lakini ilipokuja kwenye mgawo wa viti maalum Mbeya haikufikiriwa. Walijaza wachaga watupu ambao ni hawara na dada zao kama Chritina Lissu, Owenya, Suzan Lyimo, Grace, Kiwelu, Joyce Mukya etc.

Wewe unaniona sina akili lakini ambaye hana akili ni Sugu anayekubali maandamano yaletwe Mbeya kuvuruga uchumi na utulivu huku akijenga sintofahamu ya wana Mbeya dhidi ya Serikali.

Mwenye akili kajenga nyumba hii kwao Machame mara alipotoka Segerea baada ya kuonana na Rais mwaka 2021

Endeleeni tu kumsindikiza wakati anazindua mali zake huko Machame kama alivyosindokizwa hapa.


Huku nyinyi watu wa Mbeya mkisifiwa kuwa mna MSIMAMO mkali dhidi ya Serikali na kukubali kuwa uwanja wa maandamano
 
Kumbe tumefanywa machawa na MTAJI wa maCCM,POLISI nao machawa,watumishi nao machawa,wengine panyaroad na wadudu,kweli CCM kidumu KUUZA mbuga za wanyamapoeo na bandari,machawa ubongo WENU rehani halafu mnao wivu Mbeya walivyojielewa.Sikia hiyo siyo Dodoma kwa Matonya OMBAOMBA gawa chumvi na tshirts.
 
Mngekuwa mnajielewa msingeishi kwenye kijiji kikubwa kilicho jaa nyumba za udongo na barabara moja ya lami.
 
Mbeya sometimes wanakuwa wapuuzi sana,wewe MTU keshakuambia jina lake ni SUGU,Sasa wao wanathubutu vip kumchagua MTU SUGU awe MBUNGE wao?
Wewe jamaa kukutukana tumechoka bhana. Nawaonea huruma watoto wako saiz
 
Wamejua Mbeya ina wajinga wengi ndiyo maana hata Mwabukusi na Mdude na Slaa walianzisha maandamano ya bandari/ DP WORLD huko huko.

Wachaga hawakubali kuburuzwa, wako busy wanafukuzia noti/ hela
Wewe ni mundali au mfipa au mzaramo
 
Acha ujinga wewe.ndo maana mkaletewa mjinga mwenzenu makonda
 
Mjinga ni wewe na ukoo wako,mbeya tunajitambua ndo mana tunapigania haki
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ masisiemu mtapata laana wapuusi nyie.
Edwin Mtei ni mmachame na Arusha ni makazi
Mbowe ni mmachame makazi dar es salaam
Tundu lisu mnyaturu makazi dar
Mnyika msukuma makazi Dar
Joseph mbilinyi ni mkinga makazi mbeya acheni propaganda na upotoshaji tafuteni hoja kwanin jiwe alikuwa anajenga kijijini kwake kama mobutu?
 
Mwambie huyo mtoto,mwenye tabia za kimalaya Malaya. Eti Mbeya haiendelei kwa sababu ya upinzani!! Watu wa Mbeya hawajazoea kujipendekeza na kuwa wanyonge kisa wapewe maendeleo ambayo ni haki yao kama watanzania. Ni bora uyapeleke kwingine kwa wanafiki.
 
Saizi Kila kitu Dodoma imeacha Mbeya .

Mbeya ndio Jiji la hovyo kuliko yote kiasi ya kulinganisha na Vijiji kama Kahama.

Badala ya ku focus kwenye maendeleo watu wako busy na mambo ya kipuuzi ya kina Lisu na kundi lao.
Na aliyewaambia mliite jiji ni nani? Walikuja kuwaomba!! Waondoe hiyo hadhi wapeleke sehemu nyingine kwa walio tayari kuwalamba miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…