Wana Mbeya shitukeni, CHADEMA wamegeuza jiji lenu maabara ya sera zao

Kwa nini uende outside the Box wakati ndani ya Box kuna majibu yote.

Mimi nijibu straight acha cheap jargons. Lini ulisikia Moshi kuna maandamano?

Pili baada ya Mrisho Gambo kuwa RC Arusha unaonaje biashara ya utalii ilivyopanda as opposed na kipindi cha Godbless Lema?
What is the root cause of strikes,(kinacho sababisha maandama nii nini,) .1. Inawezekana ikawa ni ujinga
2. Jamii mfu, ( jamii ambayo haiwezi kuhoji, (silent society) ,je hiyo jamii itakaa kimya kwa muda gani na madhara yake ni yepi?, Kumbukeni tumeandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanza kwenye ngazi ya familia,(ostracism)
3..Changamoto zisizo tarajiwa,(uncertainty), changamoto zisizo tarajiwa kwa asilimia kubwa husababishwa na binadamu kwa kutokujua ama kwa makusudi hii ya makusudi hutokana na tabia ya unyumbu,(human herding) ambayo limelifikisha taifa hili hapa tulipo
 
Punguza bangi mbichi wewe chawa wa CCM. Mbeya tulitoa mbunge wa upinzani kutoka NCCR kwenye uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 Mh Polisian Mwaiseje. Jifunze historia kabla hujaropoka.
Moshi mjini, Arusha mjini na Karatu zilitoa wabunge wa upinzani mwaka huohuo wa 1995 lakini hakuna huo upumbavu wa kuandamana hovyo.
 
Mnaongelea siasa za uchaguzi badala ya kutatua matatizo tuliyonayo kama taifa hao wabunge wakifika bungeni wanakuwa Mazezeta,(tabia za unyumbu) yaani wanaahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data
 
Swali langu hujajibu. Kwanini Mbowe na sugu wameamua Mbeya ndiyo mahali pa kufanyia majaribio ya siasa za vurugu?

Nyinyi mnajazwa UJINGA na mnakubali KUJAA.

Mbowe anajua madhara ya maandamano na siasa za taharuki ndoyo maana hapeleki Hai au Moshi
Kwa sababu Mbeya ndio mkoa ambao hauna wajinga na machawa kama wewe.

Haya jibu hoja zangu hapo. Mbeya imewakosea wakubwa zako?
 
Huyo jamaa uchawa kwa Samia umetoa akili sana hana tofauti na Lucas Mwashambwa ujinga mwingiiii.
Hata wewe ni chawa wa Mbowe. Honitoi kwenye reli kwa kuniita chawa wa Samia
 
Huyu mjinga ameamua kuitumia Chadema kuitukana Mbeya na wana Mbeya, angalia post zake anaponda mji wa Mbeya anauita kijiji kikubwa na wana Mbeya kuwa ni vilaza wasiojitambua wanaendeshwa na Wachaga.
Na elewa kabisa Mbeya ni nyumbani kwangu ila na kerwa vijana wa Mbeya kusindikiza maendeleo ya majiji mengine. Nataka vijana wa Mbeya wapambane kujijenga kiuchumi na siyo siasa za kipimbi.

Wewe unadhani Mbowe akipata Urais atakukumbuka?
 
Sihitaji fadhila nimeshapita hatua hiyo kitambo.
 
Ungeanzisha uzi moja kwa moja tu kuitukana Mbeya na watu wake bila kuzunguka mbuyu kuitumia Chadema.
Huu ndiyo mchango wangu kuwaelimisha. Wehye elimu wananielewa lakini vichwa ngumu mtabakia mnabisha tu. Amkeni jitoeni kwenye blanket la siasa uchwara. Mnawatumikia akina Mbowe tu
 
Hawawezi kukusikiliza kwa njia unayotumia ya kuwakashifu.
 
What is the root cause of strikes,(kinacho sababisha maandama nii nini,) .1. Inawezekana ikawa ni ujinga
2. Jamii mfu, ( jamii ambayo haiwezi kuhoji, (silent society) ,je hiyo jamii itakaa kimya kwa muda gani na madhara yake ni yepi?, Kumbukeni tumeandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanza kwenye ngazi ya familia,(ostracism)
3..Changamoto zisizo tarajiwa,(uncertainty), changamoto zisizo tarajiwa kwa asilimia kubwa husababishwa na binadamu kwa kutokujua ama kwa makusudi hii ya makusudi hutokana na tabia ya unyumbu,(human herding) ambayo limelifikisha taifa hili hapa tulipo
Mfumo wa kuhoji upo kupitia wawakilishi kwenye ngazi ya chini hadi juu. Kwenye ngazi za chini kuna Madiwani wanaochaguliwa na wananchi wanapaswa kuuliza kuhusu maendelao yao.

Kwenye ngazi ya Taifa kuna Wabunge ambao wanachguliwa na wananchi, hawa wanapaswa waulizwe au wahojiwe mambo ya kitaifa
 
Kwa sababu Mbeya ndio mkoa ambao hauna wajinga na machawa kama wewe.

Haya jibu hoja zangu hapo. Mbeya imewakosea wakubwa zako?
Kwani mimi naishi wapi? Huo werevu wa wana Mbeya uko wapi? Maandamano ndiye werevu wakati mikoa ya wenzenu inapiga hatua. Ujuwe naijuwa Mbeya kuliko wewe
 
Mfumo wa kuhoji upo kupitia wawakilishi kwenye ngazi ya chini hadi juu. Kwenye ngazi za chini kuna Madiwani wanaochaguliwa na wananchi wanapaswa kuuliza kuhusu maendelao yao.

Kwenye ngazi ya Taifa kuna Wabunge ambao wanachguliwa na wananchi, hawa wanapaswa waulizwe au wahojiwe mambo ya kitaifa
Kwa akili ya kawaida, (ya kuvukia barabara) majibu yake ndiyo hayo
 
Kwani mimi naishi wapi? Huo werevu wa wana Mbeya uko wapi? Maandamano ndiye werevu wakati mikoa ya wenzenu inapiga hatua. Ujuwe naijuwa Mbeya kuliko wewe
Huna unalojua wewe. Mimi nimesoma na kuishi Mbeya kwa muda naijua sana
 
Yaani kujenga HOVYO nyumba za matope mjini ndiyo kujitambua?? Kujaza mabajaj barabarani mpaka kudababisha foleni ndiyo kujitambua?? Jiji limekuwa KIJIJI kikubwa ndiyo mnaona ndiyo upinzani. Nyambaàaf
Wew sio ridhiki naona, ushaleft group.

Yaan huamin kabisa kwenye mabadiriko, nyoko 2 wewe.
 
Back
Top Bottom