Wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) nimewamisi sana tokea mwaka 2009, ila Mungu akipenda 2024 hii nakuja Kuwa nanyi na Kutambika pia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana.

ONYO

Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara kutoka Visiwa vya Ukarani Mwanza - Mara na Mnyamwezi kutoka Mkoani Tabora usipoteze kabisa muda wako Kuchangia kwani hakuna mlijualo zaidi ya kuwa Washamba huku Sisi wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) ndiyo tukiwafundisha Ujanja na kuwapeni Akili.

Watani zangu mpo.......!!
 
Dah umenikumbusha mtoto Eunice mjita alikuwa analia hadi inabidi kusimamisha shughuli za kukimbiza mwenge kwa mda.
 
Andaa kabisa pesa ya pombe ya wajomba zako maana hawata kuacha kwa kuwasahau namna hiyo
Mkuu siyo Utani kuna Mtu kaniambia hivi hivi kama Wewe. Nitakachofanya ni kutafuta Pombe ya Kienyeji inayolewesha kwa haraka, ya Gharama nafuu na inayopendwa na Wengi kisha nainunua na natafuta Ng'ombe wa Bei nafuu anachinjwa na Wanakula huyo Wote na hapo nadhani Adhabu yangu nitakuwa nimeimaliza Kiufundi na Kimkakati kabisa au?
 
Mkoa wa Mara umeacha historia kubwa sana kwenye harakati za kupiga vita ukabila.

Baba wa taifa pamoja na kutokea huko na kuiongoza nchi kwa miaka zaidi ya 20 wala hakupendelea sehemu aliyotoka ama watu wa kabila / mkoa anaotokea (watu wa Mara walijaa jeshini si kwa kupendelewa, walizigombania nafasi za vita ya Kagera wakati mikoa mingine wanaogopa kufa), alifanya hivi maksudi kujaribu kuweka mfano kw viongozi wengine, Alionya sana tusiwe na raisi anaetokea kabila kubwa, tulipokaidi na kumchagua Magufuli tuliona jinsi mbegu za ukabila zinavyoanza kumea, huko kwao Chato aliweka kipaumbele kuanzia airport ya kimataifa anvayo kwa sasa ni malisho ya mbuzi, stendi ya kisasa ambayo kwa sasa imegeuka gofu, TRA jengo kubwa wakati wilaya haina walipaji wengi wa kodi, n.k.
 
Kazi mnayo.
Warangi Ni watani zenu?
Duh!
Kabila Lina watu wanaongea Kama kuku.
Halafu hawana point wanaongea ili tu kufungua mdomo na kutoa sauti.
Halafu kwenye uchawi Sasa , duh
 
Mkoa wa Mara umeacha historia kubwa sana kwenye harakati za kupiga vita ukabila.

Baba wa taifa pamoja na kutokea huko na kuiongoza nchi kwa miaka zaidi ya 20 wala hakupendelea sehemu aliyotoka ama watu wa kabila / mkoa anaotokea (watu wa Mara walijaa jeshini si kwa kupendelewa, walizigombania nafasi za vita ya Kagera wakati mikoa mingine wanaogopa kufa), alifanya hivi maksudi kujaribu kuweka mfano kw viongozi wengine, Alionya sana tusiwe na raisi anaetokea kabila kubwa, tulipokaidi na kumchagua Magufuli tuliona jinsi mbegu za ukabila zinavyoanza kumea, huko kwao Chato aliweka kipaumbele kuanzia airport ya kimataifa anvayo kwa sasa ni malisho ya mbuzi, stendi ya kisasa ambayo kwa sasa imegeuka gofu, TRA jengo kubwa wakati wilaya haina walipaji wengi wa kodi, n.k.
Uwanja wa chato ni malisho ya mifugo? Bila Shaka wewe ni Muhammad sana
 
Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana.

ONYO

Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara kutoka Visiwa vya Ukarani Mwanza - Mara na Mnyamwezi kutoka Mkoani Tabora usipoteze kabisa muda wako Kuchangia kwani hakuna mlijualo zaidi ya kuwa Washamba huku Sisi wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) ndiyo tukiwafundisha Ujanja na kuwapeni Akili.

Watani zangu mpo.......!!
🤣🤣🤣
⚖️Justice for Asimwe#
 
Back
Top Bottom