Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

ijapokua umesema mchepuko lakini nimeingia hamasa ya kushaur baada yakugundua unayo nia ya kumsaidia


akipiga mswaki asugue ulimi na azingatie maji mengi yani anywe maji kwa wingi na ukamwone daktar wa kinywa ni ngumu kuandamana naye pengune hajui kama anatoa hizo haruf so kuzngatia tatizo lilivyo kajiexpress kwa dokta kwa niaba yake

kuhusu kutoa harufu chini, aache kula vyakula vya sukari, apunguze matumizi ya sukari na hizo chupi zake anatakiwa aachane nazo aanze upya na akijisafisha asafishe sehem zake kuanzia mbele kwenda nyuma
 
Harufu mbaya ya kinywa na kule ubibini inakata sana wakuu. Kuna pisi nilichukua namba siku tumeonana dinner ile harufu yake ya kinywa ilinikatisha tamaa nikajua labda huenda ni siku hiyo tu, nikajaribu siku nyingine mambo n yale yale. Sikuhangaika hata kutuma maombi nikampotezea.

Mpunguze kunyonyana nyuchi hizo zinawaharibu vinywa.
 
si umpeleke hosptal, mbona ishu ndogo hizo ijulikane kama ana shida kama hana umuelekeze usafi
 
Wee hunyonyaniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume miaka nenda rudi tuna matatizo hilo nakiri.
Haturidhiki na mmoja.
Acha fix kijana, kama hiridhiki na mmoja si ungekua unakula vyuma vya mikoa uliyopo na sio kuita chombo yako hiyo moko.

Enewei kua makini hizo harufu usijezichukua ukampelekea mkeo.

Mpeleke hospitali hivyo vyote vinatibika, wanawake wana vimagonjwa vingivingi usijemtibu kwa mitishamba ukamharibu zaidi.
 
Magonjwa ya zinaa nayo yanaanza kupata usugu wa dawa. Mfikirie mkeo na watoto utakao waacha yatima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…