kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Mzuri haswa, mzuri kweli kweli ! Ananuka mdomo na kwa bibi, haya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you sana mkuu!nitaifatilia nikiipata nakutag
Ndiyo maana simwachi!Mzuri haswa, mzuri kweli kweli ! Ananuka mdomo na kwa bibi, haya!
Hii si story, ni ya kweli kabisa.Sema leo umekuja kuchangamsha genge tu mkuu na story za hapa na pale
si umpeleke hosptal, mbona ishu ndogo hizo ijulikane kama ana shida kama hana umuelekeze usafiMimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana.
Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie.
Iko hivi, mimi nina mchepuko, ni mtoto mzuri sana na ninaye siku nyingi.
Nikimwomba aje niko safari Dodoma, Arusha, Moro au kwingineko anakuja tuna spend night bila kikwazo chochote.
Huyu mchepuko wangu anajistahi na ni mpole hana makeke ya ubishoo mitaani.
Na ni mzuri, mzuri haswa.
Tatizo.
Jamani hili tatizo lake linanitia unyonge sana.
Bibie ana mdomo unanuka haswa, hata ukimpiga tongue kiss inabidi ujishauri.
Na tatizo la pili ni huko kwenye tunda la uhai, kunatoa harufu inakera, ukipiga kimoja ushirikiano na mzee akilala unakuwa hamna, ukikumbuka harufu zote mbili.
Kwa wanawake mliomo humu jamani nipeni ushauri nisikaache haka katoto kazuri.
Hii si story, ni ya kweli kabisa.
Na ukweli ni kwamba alivyo mzuri nimeshamwambia nataka kuzaa naye.
Arooo, unataka kuingia anga zangu?Jandoni Hatukufunzwa Namna Hii,,,Nipasie Namba Zake Bibiee Nimstiri Kama Hutojali Lakini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzuri haswa, mzuri kweli kweli ! Ananuka mdomo na kwa bibi, haya!
Wee hunyonyaniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harufu mbaya ya kinywa na kule ubibini inakata sana wakuu. Kuna pisi nilichukua namba siku tumeonana dinner ile harufu yake ya kinywa ilinikatisha tamaa nikajua labda huenda ni siku hiyo tu, nikajaribu siku nyingine mambo n yale yale. Sikuhangaika hata kutuma maombi nikampotezea.
Mpunguze kunyonyana nyuchi hizo zinawaharibu vinywa.
Acha fix kijana, kama hiridhiki na mmoja si ungekua unakula vyuma vya mikoa uliyopo na sio kuita chombo yako hiyo moko.Wanaume miaka nenda rudi tuna matatizo hilo nakiri.
Haturidhiki na mmoja.
Aroo Anga Uitoe Wapi??Kama Ulie Nae Unamdhalilisha Kiasi Hicho,,,Wenye Anga Zao Hawana Adabu Za Namna Hiyo.Arooo, unataka kuingia anga zangu?
Madaktari wa Kunywa mbege au chimpumuMwanaume tumeumbiwa kifua!
"nenda kwa madaktari wa kunywa mzee" "nenda kwa madaktari wa magonjwa ya ngozi"
Huo udhaifu wake ndo unamfanya awe hivyo wacha apone uone, lazima awa prove masela waliomla na kumkimbiaUkiacha tatizo lake, bibie katulia sana na ni mpole.
Ufyatue singo maza mpya mtaani siyo? We mzee katili sanaHii si story, ni ya kweli kabisa.
Na ukweli ni kwamba alivyo mzuri nimeshamwambia nataka kuzaa naye.
Magonjwa ya zinaa nayo yanaanza kupata usugu wa dawa. Mfikirie mkeo na watoto utakao waacha yatimaMimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana.