Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

Dah.....ukiwa upo nae faragha jitaidi awe anaoga kabla ya mechi au uwe unamuogesha huku unapiga mambo yako.......na jitaidi kumsafisha wenywe kwenye Tunda na mpige mswaki wote atajua mahaba ila kama anajua kujiongezea atajua kujiongeza ataelewa ✌️✌️✌️✌️✌️✌️
 
Maskini ila usijali na yeye anatafuta dawa ya kibamia chakoπŸƒπŸΏπŸƒπŸΏ
 
Hilo sio tatizo la kuoga wala kuswaki, hiyo imekaa kibaiolojia, inabidi apelekwe kwa daktari.
 
Kuhusu harufu mdomoni:
1. Hakijisha kabla ya denda ale ndizi angau 1 au 2.

2. Au atafune karafuu

Vitu hivyo viwili hukata harufu hata ya pombe kwa haraka sana.

Huko chini ngoja nikuitie wadada wasafi.
Evelyn Salt Demi ephen_
 
Lini umetunusa? πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Kuhusu harufu mdomoni:
1. Hakijisha kabla ya denda ale ndizi angau 1 au 2.

2. Au atafune karafuu

Vitu hivyo viwili hukata harufu hata ya pombe kwa haraka sana.

Huko chini ngoja nikuitie wadada wasafi.
Evelyn Salt Demi ephen_

Bro anatufuta dawa ya mchepuko,mchepuko unatafuta dawa ya kibamia chake kisha unatafuta mume pamanenti kwenye Kamali tunaita GG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…