Wana MMU nisaidieni, nifanyeje?

Huyo amekosa sifa za kuwa mchepuko, mkeo ndio wa kumvumilia lakini Siyo mchepuko.

Mchepuko anatakiwa kukupatia ulichokosa kwa mkeo lakini Siyo yeye kuwa kero tena kwako.


Piga chini .
 
Kiukwel hili swala lako linahitaji usaidiz wa afya
Humu jukwaani utaambulia emotional za wajinga wengi wasio elewa nin Cha kushaur
 
Inabidi umuambie ili mtafute ufumbuzi Pamoja, ... UNAANZAJE KWA MFANO?
Kwenye kesi yangu ya namna hiyo, mimi nilianza tu kumjaza manoti huku sigongi nikijifanya nguvu zimepungua kutokana na umri wangu!
🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…