Wana ndoa wengi wanajiongelesha wenyewe barabarani shida ni nini?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Umeshawahi kujiuliza

Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka
Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee

Kila anaejiongelesha mwenyewe njiani kama sio chizi basi ni mmoja wa wanandoa

Nawaza nini shida kwenye ndoa

Hebu mliovamia hizo ndoa mtujuze please kusaidia wanaokuja wasizame kwenye tanuru lanmoto

swabahanna tuasaidie
 
Haya mambo wee yaache tu ukiingia ndo utajua hapa ni ngumu mno kuelewa ila kifupi ni kuwa huwa tunawaza kwa sauti bila kujijua
 
Swali: Sample size ya resechi kujua kuwa ni wanandoa?
Jibu: Nilichunguza watembea kwa miguu kutoka buguruni sheli mpaka soko la karume ndio nikapata majibu.
 
Sssshhh! Umeona tunaongea njiani!Tuna mkutano kwa kutumia bluetooth.Tulia.
 
Wako kwenye virtual marriage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…