Unageuka kuwa traffic control lights!Noma kinomanoma mkuu.
Mkuu muMungu atusaidie wale wanaoijua rainbow ⛱️
Majuzi nafanya mazoezi nikakimbiaa wee narudi namwona Proffesq mmoja alikuwa mwl wangu udsm anaongea mwenyewe kaka kwenye ukuta wa moja ya Fensii ya mtu
Huyu prof alikuwa na mke mzungu wakati nikisoma..so nikaona anachezesha mikono kama control tower hee nikamfwata prof shikamoo akashtuka yaan nikama alikuwa kwenye meeting flan nimemwondoa huko
Kavaa bukta na shati nyeusi..za masiku nzuri akauliza unanikumbuka nkamwambia ndio ulinifundisha chuon mwaka flan akasemaa ooh yah bwana kaa hapa tuyajenge
Kilivuofwata n huzuni sana...mpwa umenikumbukaje nimefurahi saana m bwana nilipitia mateso kidogo ya dunia lakini Mungu ananipigania
Nikiwa page udsm unamkumbuka nkamwambia ndio so tuliza watoto watatu wakubwa tu akapata dk mwenzangu akaniacha akaenda kuishi nae mzumbe
Nkapambana anipe wanangu mwisho kabisa tulipoanza kwenda mahakaman diku tumepqngq kwenda marayatatu jana t are a kanitumia picha yuko Germany na wamangu nipambane nammahakamayangu
Kwelii niliumia sana sana ndugu nkawa kama sio mm tena ofisini wakanipa likizo yakupumzika badae nikaonekana na shida kifogo ya mawazo
Nkaombq nipumzike..badae nikaenda kufunidsha chuo cha Mandela arusha
Badae. Shida ya kichwa kuumaa ikanirudia kichwani nkasema kichwa kuuma ama umeyatimba kwa mzungu
Mwisho akarudi na sasa anakuja Beach sànanepaka jion
Anarudi yuko na jumbalake Zuri makonde na anatembea nkamuliza huna gari akajibu mawili na sitaki mtu ayaguse kwasasaaa
Ujafikiria hata kuweka mzoga wa hawara nyumban aisee ilikuwa n mwisho wa maongezi mpendwa
Alinijibu tusii siikutaka kufikira tena....Tena la mama kanga na mjomba humo ndan nkasemaaa
Ndoa nyokoo