Wana ndoa wengi wanajiongelesha wenyewe barabarani shida ni nini?

Umeshawahi kujiuliza

Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka
Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee

Kila anaejiongelesha mwenyewe njiani kama sio chizi basi ni mmoja wa wanandoa

Nawaza nini shida kwenye ndoa

Hebu mliovamia hizo ndoa mtujuze please kusaidia wanaokuja wasizame kwenye tanuru lanmoto

swabahanna tuasaidie
Aiseee wale wa kataa ndoa tunaomba watusamehe tumekoma
 
Umeshawahi kujiuliza

Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka
Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee

Kila anaejiongelesha mwenyewe njiani kama sio chizi basi ni mmoja wa wanandoa

Nawaza nini shida kwenye ndoa

Hebu mliovamia hizo ndoa mtujuze please kusaidia wanaokuja wasizame kwenye tanuru lanmoto

swabahanna tuasaidie
Kichwa cha habari na mada yako haviendani, wanandoa huku chini watanzania barababarani

Kwa si kila mtu anaejiongelesha ni mwanandoa (unless una lengo lako lingine) watu wana matatizo makubwa zaidi ya ndoa
 
Kuchapiwa hasa hawa tia mchuz pangu pakavu

Maisha magumu na bado watu wanaichapa ya mkeo bila tabu lazma upagawe
images (20).jpeg
 
50/50 sio sustainable yaan imeleta Singo Maza wave.
50/50 ni nyepesi mno tukiamua kudeal nayo kwa dhati. % ya Wanawake pesa zinazowapa kiburi cha kusumbua vijana na 50/50 zinatoka kwetu wanaume na si kwamba wanapata pesa kwa kufanya kazi kwa bidii.

Unakuta graduate wa kike ana sura nzuri, anapata kazi sababu ana sura nzuri, akirudi nyumbani anamvimbia kijana mumewe asiye na ajira na 50/50 mara atoe maelekezo kama mwanaume ila akiingia kwa bosi wake ni mwanamke tena wale wa kudeka kabisa.
 
Umeshawahi kujiuliza

Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka
Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee

Kila anaejiongelesha mwenyewe njiani kama sio chizi basi ni mmoja wa wanandoa

Nawaza nini shida kwenye ndoa

Hebu mliovamia hizo ndoa mtujuze please kusaidia wanaokuja wasizame kwenye tanuru lanmoto

swabahanna tuasaidie
Tatizo mmeoa wake za watu...SISI tupo kwenye anniversary ya 36.

Kwenye maisha ok ok ok ok ok
 
Kunae kaka m1 jinsi ndoa inampeleka puta, namuhurumia, afu kijana mdogo..
😂😂😂😂😂😂😂
 
Umeshawahi kujiuliza

Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka
Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee

Kila anaejiongelesha mwenyewe njiani kama sio chizi basi ni mmoja wa wanandoa

Nawaza nini shida kwenye ndoa

Hebu mliovamia hizo ndoa mtujuze please kusaidia wanaokuja wasizame kwenye tanuru lanmoto

swabahanna tuasaidie

Siyo kweli, mimi jana nimemuona a legend bachelor akiongea peke yake barabarani
 
Umeshawahi kujiuliza

Wimbi la watanzania wengi kuongea wenyewe barabarani linaongezeka
Mbaya wengine unakuta anqchezesha mpaka mikono kama anaongoza magari kwenye traffickligjt aisee

Kila anaejiongelesha mwenyewe njiani kama sio chizi basi ni mmoja wa wanandoa

Nawaza nini shida kwenye ndoa

Hebu mliovamia hizo ndoa mtujuze please kusaidia wanaokuja wasizame kwenye tanuru lanmoto

swabahanna tuasaidie
Siyo kuongea peke yetu, huwa tunawajibu wake zetu tukiwa tunatembea maana muda wa kukaa nao ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom