Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hii wana-sheria huwa wanaiita REVERSAL OF BURDEN OF PROOF, kama sikosei
Why is it reversal?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii wana-sheria huwa wanaiita REVERSAL OF BURDEN OF PROOF, kama sikosei
Je mwl Nyerere alikuwa ni mwana sayansi?
Je mwl Nyerere alikuwa ni mwana sayansi?
Kama yupo ameshindwa kufanya hivyo for the last 20 years.
Duh!
Mkuu mpaka nakuogopa..
Kuna mwanamuziki mmoja aliwahi kuimba "kama kusingekuwa na dini duniani, kipimo cha uovu kingekuwa nini"? Sasa kama ndugu huamini uwepo wa Mungu basi ni wazi unaamini katika "freedom of commiting evils or leaving a 'saints' life", kati ya hayo mawili lolote unaweza fanya, no one to fear than laws..
Sasa wewe ni wa kuogopwa, kwa maana if u can manage to play above the laws, then there is nothng on top can 'shake' u either!
Unaweza hata kuua hadharani..
Hakuna mwanasayansi mwenye akili timamu hasa natural thinking ability ambae anaamini the great architecture of the universe hayupo. Hayo ni maneno ya the secret society yaani freemason. G.A.O.U ultimately ni Mungu. Wale wanasayansi waliokariri hadi ubongo ume stack ndo wanaoyumbishayumbisha kuhusu uwepo wa Mungu.
aisee nimeingia YouTube nimeisikia hiyo sauti.mungu yupo jamani
pole kwa kukurupuka.sijasema mungu yupo youtube niliomba link yenye hizo sauti bahati nzuri nikaikuta video youtube btw sijaanza kuamin kuwa mungu yupo leo hilo nalijua tangu utoto na nimelishika.no wonder wewe ni mjinga kwa sababu yakuparamia hovyo mambo.mimi sikusema mungu yupo youtube.na ikiwa swala ni eti youtube labda ile sauti imetengenezwa basi nipe proof juu ya maandiko matakatifu kwa nini uamini hicho kilichokwenye karatasi.next time usiforce watu wapigwe banKwahiyo siku hizi Mungu anapatikana You tube?
Unavikumbuka vipindi vya mama na mwana Radio Tanzania? Wakati wa hadithi za binti chura ile milio nayo ilitoka kwa Mungu au ilitengenezwa kwenye studio za RTD?
No wonder hii nchi ni maskini kwa sababu ya kuacommodate raia wasio na udadisi.
Sisemi kwamba Mungu hayupo ila napinga Mungu kuthibitishwa uwepo YouTube.
Kwa kauli hii namwomba Mungu ajithibitishe yeye mwenyewe kwako na kwa wengine wasioamini uwepo wake. Afanye hivyo sio kwa utashi wangu mimi binadamu bali kwa utashi wake yeye mwenyewe kama Mungu. Amen.
pole kwa kukurupuka.sijasema mungu yupo youtube niliomba link yenye hizo sauti bahati nzuri nikaikuta video youtube btw sijaanza kuamin kuwa mungu yupo leo hilo nalijua tangu utoto na nimelishika.no wonder wewe ni mjinga kwa sababu yakuparamia hovyo mambo.mimi sikusema mungu yupo youtube.na ikiwa swala ni eti youtube labda ile sauti imetengenezwa basi nipe proof juu ya maandiko matakatifu kwa nini uamini hicho kilichokwenye karatasi.next time usiforce watu wapigwe ban
Ban inakujaje hapa son? Usitishie kujamba wakati una uharo jibu hoja acha viroja.
YouTube audio clip si hata mimi naweza kuiweka? Hivi wewe wa wapo?
Kama unahisi nimekuparamia sijui kwa nyuma hayo ni mawazo yako tu son.
No where on earth mtu anaweza ku justify kutokuwepo kwa Mungu.
link yenyewe itakayo nifikisha huko kwenye hizo sauti iwapi?