"if an all powerfull,all knowing and all capable god can let this happen isnt that his will" nadhani hautanishtaki kwa kunukuu maneno yako.asiyeamini katika yeye ni mwabudu wa shetani.kama giza ni kutokuwepo kwa mwanga basi evil ni kutokuwepo kwa mungu katika nafsi ya mtu fulani.ukifumba macho yako unaweza kusema kuwa dunia imeingiwa na giza la kutisha si ndivyo? ila ukifumbua macho nuru ile hurudi tna na kuyaangaza macho yako.ukisema hayupo ni sawa na kufumba jicho utaona giza tu ila nuru bado inaangaza.
Siwezi kuwa namwabudu shetani, mimi sikubali katika habari zote za supernatural powers, kwa hiyo mauzauza yote kwangu ni sawa.
Shetani, mungu, majini, mitume wanaotembea juu ya maji, vibwengo, vinyamkera, popo bawa, wachawi etc.
Yote hayo ni supernatural powers, supposedly.
Mimi nakataa kwamba kuna kitu supernatural. Ingawa nakubali kwamba hatujui yote yaliyo katika natural world, na pengine yale tunayofikiri kuwa ni supernatural leo, tutakuja kuyaelewa na kuyaona natural kesho, kama vile wahenga wetu ambavyo waliona radi kitu cha ajabu na leo watoto wa shule wanafundishwa radi ni umeme tu.
Kwa hiyo kusema kwamba mimi kwa sababu simuamini mungu namuabudu shetani, ni kutyoelewa kwamba mungu na shetani ni pande mbili za safaru ilele ya mauzauza ya supernatura, mmoja ana rep[resent good, mwingine ana represent evil.
Mimi naikataa sarafu nzima kwamba ni hadithi tu.
Sikubali kwamba kuna mungu wala shetani.
In a way, wewe mwanadamu ndiye mungu na/ au shetani, maana unaweza kuumba na kubonoa, kufanya mazuri na mabaya.
Nimeuliza maswali hapo juu sijajibiwa, naona napata mahubiri tu na mapokeo yasiyo na kufikirisha kichwa.