Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilidhani baada ya kusoma uzi huu ningemkuta Kiranga kalegeza msimamo wa kutoamini uwepo wa MUNGU, kumbe wapi.namuonea huruma sana.ila nina imani ipo siku aliye na mamlaka kuu kushinda zote,atajidhihirisha kwake kwa namna atakayo jichagulia.praise the lord and say AMEN
Kama yupo ameshindwa kufanya hivyo for the last 20 years.
Kuna dhana ya ajabu iliyoenezwa na baadhi ya wahubiri makanisani kwamba wanasayansi hupingana na uwepo wa Mwenyenzi Mungu. Huwa nachukulia hali hiyo ni kutokana na kukosa elimu ya uhakika na, hivyo, kuanzisha mashindano yasiyokuwa na sababu. Ninavyoelewa, sayansi hutusaidia kuelewa undani wa complexity ya maumbile yetu hapa duniani na jinsi mifumo mbalimbali ya asili inavyofanya kazi kwa kufuata sheria na kanuni za asili, basi. Nani aliyeweka sheria na kanuni hizo za asili? - sayansi haiingii huko; bali ndipo masuala ya imani yanapoanzia. Mwanasayansi, kama mtu yeyote, anaweza kuamini au kutoamini katika Mungu kama ndiye msanifu na muundaji mkuu wa universe - na hilo halina uhusiano kabisa na sayansi.
Ni kama vile kuna wakati wahubiri wengi walikuwa wakiishambulia sana elimu kama si lolote wala chochote mbele ya Mungu. Ukichunguza sana utaona kuwa ilikuwa ni inferiority complex ya baadhi yao kwani wengi waliokuwa wakikimbilia utumishi, elimu ilikuwa haba. Sasa siku hizi utakuta wengi wako katika harakati za kujivisha shahada za uzamivu za kila aina na kusisitiza kutambuliwa kama ma-doctor. NA kelele za kushambulia elimu zimepungua.
Bwana Kiranga, kwanza nimefurahi kwamba 'you are honest in your heart', you speak out the truth that is in your heart and mind, na kwamba hauamini uwepo wa Mungu kama 'bendera fuata upepo'. My kudos to you for that.
Now I hereby request you to do one small thing and then forget about it. This small thing will not cost you more than 3 minutes. Just be honest once again, speak out from your heart and mind words similar to this, GOD, IF YOU REALLY EXIST, SOMEHOW MAKE ME KNOW IT. After that, forget about it and keep believing that God does not exist. God, if He exists, will make you know it, just as you know that 2+2 is 4. It doesn't matter whether it takes your lifetime to know. God pays the same wages to those He hires in the morning and those He hires in late evening. You may inform me if you spoke the words I proposed.
I did this small thing 20 years ago.
To no avail, todate.
And 2 + 2 is not necessarily 4.
Famous Scientists Who Believed in God
Is belief in the existence of God irrational? These days, many famous scientists are also strong proponents of atheism. However, in the past, and even today, many scientists believe that God exists and is responsible for what we see in nature. This is a small sampling of scientists who contributed to the development of modern science while believing in God. Although many people believe in a "God of the gaps", these scientists, and still others alive today.
Kiranga hao ni baadhi ya wana sayansi walioamini uwepo wa Mungu, haimaanishi kwa kuwa wao waliamini basi kila mtu aamini kama wao walivyoamini, ila kwa kuwa unaitumia sayansi kuonyesha Mungu hayupo, wao waliamini yupo.
- Nicholas Copernicus (1473-1543)
- Sir Francis Bacon (1561-1627))
- Johannes Kepler (1571-1630)
- Galileo Galilei (1564-1642)
- Rene Descartes (1596-1650)
- Blaise Pascal (1623-1662)
- Isaac Newton (1642-1727)
- Robert Boyle (1791-1867)
- Michael Faraday (1791-1867)
- Gregor Mendel (1822-1884)
- William Thomson Kelvin (1824-1907)
- Max Planck (1858-1947)
- Albert Einstein (1879-1955)
Source
Famous Scientists Who Believed in God
If you did it, then forget about it. Thank you for letting me know.
Kusema wanasayansi waanza kukubali uwepo wa Mungu its a lie, infact unaenda kinyume kabisa, siku hizi scientist wengi sana ni atheists tena namba inazidi kuongezeka, wamezidi kuform groups kwenye media mbalimbali kuungana, angalia hata kickstarter watu walivyofund campaign ya kuweka satan monument Oklahoma just to piss off Christians..
Science inavyozidi kuimprove ndivyo watu imani kwa Mungu inaanza kupungua, imagine 2020 watu wataweza kwenda Mars, imagine Hyperloop transportation ikitengenezwa unatoka Dar hadi Dubai kwa masaa mawili, au Dar Mwanza kwa dakika kama kumi na tano, thorium energy unaweka kwenye gari inakaa miaka 100 bila kuweka mafuta.. yote ni vitu viko kwenye development na watu wana prototypes ambazo zinaweza fanya kazi, huoni binadamu atafika hatua anafanya vitu ambavyo wengi watasema Mungu hakuna kabisa.. Subiri wakikupatia anti-aging medicine ndio utakapochoka...
Na sayansi yote hiyo kwann hawajazuia kufa maana haohao watafiti wengine wanakufa kabla hawaja accomplish mission zao.
yaani wewe ni kama mpuuzi ambaye anaropoka tu.mwanzo ulisema no wonder we are poor(you are not one among us maybe you are rich) kwa kuwa na watu wasiowadadisi ulitaka nifanye udadisi gani labda nimtafute dr azzacov then nifanye nae oral interview ama? mr not one among us sioni logic kwenye maneno yako.labda ulitaka nikadrill 14 kms kwenda chini then niweke vinasa sauti? acha ujinga wewe ni jambo lakujiongeza tu wewe mwenye udadisi umegundua kipi juu ya hilo.ikiwa hauna imani na kile nilichosikia hilo halinihusu.jinga kabisa
Wewe ni nembo ya ujinga na ni mzigo kwa familia yako na Taifa.
Yeah, I have to emphasize, 20 years ago.
And the more time I spend thinking about it, the more I see that the idea that a personal, all knowing, all capable, all loving god exists is just about the most ridiculous idea this world has ever produced.
Worry not Kiranga, the god of this world (satan/lucifer) has blinded our minds (2 Cor 4:4) that we cannot know/see God, lucifer/satan put a veil (a cover) on the eyes of our minds and only Christ/God can take the veil away (2 Cor 3:14), When God destroys the veil then we can see. No human can destroy that veil by himself, no one. God does it all by himself, this is the salvation by grace-i.e. by God's help, it's not by human effort.
Relax Kiranga, God can do it to you as He did it to me and others. He is very, very powerful and He is never in a hurry to save people.
Na sayansi yote hiyo kwann hawajazuia kufa maana haohao watafiti wengine wanakufa kabla hawaja accomplish mission zao.