Famous Scientists Who Believed in God
Is belief in the existence of God irrational? These days, many famous scientists are also strong proponents of atheism. However, in the past, and even today, many scientists believe that God exists and is responsible for what we see in nature. This is a small sampling of scientists who contributed to the development of modern science while believing in God. Although many people believe in a "
God of the gaps", these scientists, and still others alive today.
- Nicholas Copernicus (1473-1543)
- Sir Francis Bacon (1561-1627))
- Johannes Kepler (1571-1630)
- Galileo Galilei (1564-1642)
- Rene Descartes (1596-1650)
- Blaise Pascal (1623-1662)
- Isaac Newton (1642-1727)
- Robert Boyle (1791-1867)
- Michael Faraday (1791-1867)
- Gregor Mendel (1822-1884)
- William Thomson Kelvin (1824-1907)
- Max Planck (1858-1947)
- Albert Einstein (1879-1955)
Kiranga hao ni baadhi ya wana sayansi walioamini uwepo wa Mungu, haimaanishi kwa kuwa wao waliamini basi kila mtu aamini kama wao walivyoamini, ila kwa kuwa unaitumia sayansi kuonyesha Mungu hayupo, wao waliamini yupo.
Source
Famous Scientists Who Believed in God
Huhitaji kunitajia majina ya wanasayansi walioamini kuwepo kwa mungu, mimi ni mwanafunzi wa historia ya sayansi, na nimeshatoa majina ya wanasayansi walioamini uwepo wa munguhapo awali.
This was the zeitgeist of the time. Kuna wakati wanasayansi pia waliamini kwamba the heavenly bodies are held together by Ptolemaic spheres. That did not make this belief to be the truth.
Kuna wakati wanasayansi waliamini kwamba dhahabu inaweza kutengenezwa kutoka risasi, katika enzi za alchemy.
That does not make that a truth.
Kuna wakati wanasayansi waliamini kwamba vitu vyenye uzito tofauti, ukiondoa air resistance, vitadondoka kwa kasi tofauti, kwa sababu mtu mmoja very influential aliyeitwa Aristotle aliandika hivyo. Wanasayansi wakaamini hivyo kwa karibu miaka 2,000. Nani am challenge Aristotle, mwanafunzi wa Socrates, mwalimu wa Alexander The Great, gwiji na falsafa ?
Guess what, Galileo finally did, and Aristotle was proven wrong in this.
What is the moral of the story? hanari hii inatufundisha nini?
Usikubali kitu kwa sababu mtume fulani kasema, au kwa sababu mwanasayansi fulani kasema. Kwa sababu hata huyo mtume anaweza kuwa kakosea, kwa sababu hata huyo mwanasayansi anaweza kuwa kakosea.
Chunguza kila kitu kwa upana na urefu.
Ndiyo maana mpaka leo, Einstein's General and Special theory of relativity imekuwa proven kwa karibu miaka 100, kuanzia majaribio ya Sir Arthur Eddington kwenye eclipse ya 1919. Zimekuwa proved right over and over again, zimetupa GPS na mengine mengi, lakini mpaka leo kuna watu wanachunguza ukweli kuhusu relativity. Wanataka kui debunk in some however small ways in order to make headways into the next level of granularity, just as Einstein debunked Newton in some subsection (relativistic speeds) na kuonesha kwamba kanuni za Newton hazifai, na za relativity zinafaa zaidi katika speeds hizo.
Einstein na wenzake wagunduzi wote wangesema "Newton ni mwanasayansi mkubwa sana, siwezi kumpinga". Mpaka leo tungekuwa tunasukuma matoroli na tusingepata GPS.
Unanitaka niabudu mitume katika sayansi?
Unachanganya sayansi na dini.
Sayansi haina mitume.