3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Mtazamo / mawazo ya mashabiki sio sheria.. Hapa tunajadili jinsi tunavyoona timu ilivyo na huwezi kutuzuia.Shekhe penye ukweli lazima tuseme..wewe kama shabiki umeshawahi kuichangia vipi timu yako hadi ufikie hatua ya kupendekeza majina ya kusajili na kuachwa? maana hauna tofauti na mtu asiyejielewa..unataka usivyovifanyia kazi..
wenzetu ulaya huko mtu ni shabiki ananunua tiketi kila mechi si chini ya 50000 na ananunua jezi rasmi za klabu yake kama sehemu ya kuipa sapoti timu..akienda uwanjani anashangilia mwanzo mwishooo..
nyie kulaleki mkienda uwanjani mnaishia kukaa kimya kama midomo inawanuka..
ifikie aibu muone aibu mashabiki wa soka tanzania..
Kujifanya unajua kila kitu na kutulinganisha na ulaya ndio kunakuponza mkuu.
Huko ulaya fans wakimzomea mchezaji na kusema ameshuka kiwango asipangwe au kucheza.. Haitachukua muda lazima ataondoka.. Sasa dharau yako kwa fans ni ipi kama uwanjani tunaingi, kadi tunalipia.
Acha ujiaji hovyo!!