GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwanini tena Mtani wangu? Naomba Mtu mwenye lile Goli aliweke hapa ili taratibu wote tulichambue ili mnielewe mwana Simba SC Mimi.Mtani Leo unataka kunikeraaa
Ya kukupa Mimba au?Pole sana
Mtani mida ya jioni hii...kuku wanatudishwa bandani!Kwanini tena Mtani wangu? Naomba Mtu mwenye lile Goli aliweke hapa ili taratibu wote tulichambue ili mnielewe mwana Simba SC Mimi.
La Mshindi wa Pili wa Airtel Money.Fred atatupa kombe msimu ujao
Mimi japo sio simba lakini naunga mkono simba wapewe magoli washike namba 2Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa moja halafu tena ina DNA na CCM (Serikali) Mashabiki wa Timu nyingine watapata Hasira na Kuathiri Kura japo tuna Uzoefu wa Kuiba.
Nakuomba tena tuliza Kichwa chako kisha litazame lile Goli kisha njoo hapa niambie je, Wewe usingedaka au kupangua?
Shikamoo Airtel Money Kudadadeki.