GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa moja halafu tena ina DNA na CCM (Serikali) Mashabiki wa Timu nyingine watapata Hasira na Kuathiri Kura japo tuna Uzoefu wa Kuiba.
Nakuomba tena tuliza Kichwa chako kisha litazame lile Goli kisha njoo hapa niambie je, Wewe usingedaka au kupangua?
Shikamoo Airtel Money Kudadadeki.
Nakuomba tena tuliza Kichwa chako kisha litazame lile Goli kisha njoo hapa niambie je, Wewe usingedaka au kupangua?
Shikamoo Airtel Money Kudadadeki.