Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare.

Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze Kushinda huu Mchezo muhimu na mgumu sana Kwetu dhidi ya Azam FC kwani GENTAMYCINE naiogopa hii Mechi kwakuwa Upepo wake si mzuri kwa Simba SC yetu.

Binafsi kutokana na Siku yenyewe (Jumatatu Leo), tarehe ya Leo Kinyota na kule Kubadilishiwa ghafla Uwanja pasipo Kutegemea na Bodi ya Ligi wakati kwa 99% yale mambo yetu ya Kiutamaduni (Kiuchawi) kwa Mechi za NBC Premier League pekee tumeyafanyia sana Uwanja wa KMC Mwenge ITV Kinondoni (kwa Mazindiko na Makafara ya UBAYA UBWELA) na kwa Uwanja wa Mkapa tumefanya Zindiko MAALUM tu la UBAYA UBWELA kwa Mechi za Kimataifa tu na Kitaalam kuyahamisha yanahitaji Siku 14 hadi 28 hivi.

Simba SC yetu ikishinda leo basi Tufurahi mno na si Kidogo kwani kwa 75% tutakuwa tubaelekea kuwa Mabingwa wa NBC Premier League ila GENTAMYCINE naiona Mechi ya leo ina Matokeo yafuatayo kwa sababu zangu Kuu tatu nilizozitaja hapo juu....

1. Simba SC itafungwa na Azam FC

au

2. Simba SC itatoka Suluhu (bila Kufungana) na Azam FC leo au Sare (ya Kufungana) na Azam FC leo.

Nasisitiza tena kuwa tafadhali wana Simba SC wenzangu mlipo hapa JamiiForums tujiandaeni Kisaikolojia hii leo na kamwe tusiende na Matokeo yetu Uwanjani dhidi ya Azam FC kwani kwa leo Upepo siyo mzuri na ikitokea tumeshinda Furahini mno kwa SHUGHULI tutakuwa tumeshaimaliza rasmi kwa kuwa Mabingwa wapya kwani tarehe 8 Mwezi ujao (Machi) kuna Matokeo mawili tu ya 75% Simba SC kushinda hiyo Mechi na 25% ya kutoka nao Suluhu (bila Kufungana) au Sare (ya Kufungana)

Asanteni.

ANGALIZO

Hakuna mahala popote pale NIMEKULAZIMISHA UAMINI hiki NILICHOKIANDIKA hapa bali huu ni MTAZAMO wangu kama ule ambao niliutoa mapema sana kabla ya Simba SC kucheza na Singida Fountain Gate FC kule Mkoani Manyara hivyo naomba UHESHIMIWE kwa ADABU zote.
 
Sahau ubingwa msimu huu
Simba SC bingwa Msimu huu kwa 99% Mkuu. Nakuomba tunza hii post yangu sawa? Mchezo pekee wa kutuumiza Kichwa ni huu wa leo dhidi ya Azam FC ila Mechi yetu ya tarehe 8 Machi, 2025 nanyi Yanga SC kwa 75% Simba SC itashinda na kwa 25% zitatoka Suluhu au Sare na kuna Mechi moja (baada ya Kumaliza Kucheza na Simba SC) ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC yako ama itatoa Sare au Suluhu au hata Kufungwa pia.

Nasisitiza tena tunza hii post yangu sawa?
 
League title decisive match.
Nasema leooo tupoo sober 🎵🎶
Kuna siku ndonga inazidiwaga ....
 
Simba SC bingwa Msimu huu kwa 99% Mkuu. Nakuomba tunza hii post yangu sawa? Mchezo pekee wa kutuumiza Kichwa ni huu wa leo dhidi ya Azam FC ila Mechi yetu ya tarehe 8 Machi, 2025 nanyi Yanga SC kwa 75% Simba SC itashinda na kwa 25% zitatoka Suluhu au Sare na kuna Mechi moja (baada ya Kumaliza Kucheza na Simba SC) ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC yako ama itatoa Sare au Suluhu au hata Kufungwa pia.

Nasisitiza tena tunza hii post yangu sawa?
Ushindi wa kutegemea magoli ya penati mkuu?
 
Hatuwezi kumfunga yanga hizo nindoto za mchana mchezo utaisha sare
 
Simba anashinda game zote3 yaani dhidi ya Azam,Coastal na Yanga na zote Kwa tofauti ya goli moja
 
Leo mkijitahidi sana mtapata sare! Na mechi ya tarehe 8 ni kichapo kama kawaida. Mark my word.
 
Simba SC bingwa Msimu huu kwa 99% Mkuu. Nakuomba tunza hii post yangu sawa? Mchezo pekee wa kutuumiza Kichwa ni huu wa leo dhidi ya Azam FC ila Mechi yetu ya tarehe 8 Machi, 2025 nanyi Yanga SC kwa 75% Simba SC itashinda na kwa 25% zitatoka Suluhu au Sare na kuna Mechi moja (baada ya Kumaliza Kucheza na Simba SC) ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC yako ama itatoa Sare au Suluhu au hata Kufungwa pia.

Nasisitiza tena tunza hii post yangu sawa?
Mtuvumilie tu. Ila ubingwa tutawaachia baada ya miaka 10 kupita. Msimu huu ndiyo kwanza tunachukua kwa mara ya 4. Ok?
 
Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare.

Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze Kushinda huu Mchezo muhimu na mgumu sana Kwetu dhidi ya Azam FC kwani GENTAMYCINE naiogopa hii Mechi kwakuwa Upepo wake si mzuri kwa Simba SC yetu.

Binafsi kutokana na Siku yenyewe (Jumatatu Leo), tarehe ya Leo Kinyota na kule Kubadilishiwa ghafla Uwanja pasipo Kutegemea na Bodi ya Ligi wakati kwa 99% yale mambo yetu ya Kiutamaduni (Kiuchawi) kwa Mechi za NBC Premier League pekee tumeyafanyia sana Uwanja wa KMC Mwenge ITV Kinondoni (kwa Mazindiko na Makafara ya UBAYA UBWELA) na kwa Uwanja wa Mkapa tumefanya Zindiko MAALUM tu la UBAYA UBWELA kwa Mechi za Kimataifa tu na Kitaalam kuyahamisha yanahitaji Siku 14 hadi 28 hivi.

Simba SC yetu ikishinda leo basi Tufurahi mno na si Kidogo kwani kwa 75% tutakuwa tubaelekea kuwa Mabingwa wa NBC Premier League ila GENTAMYCINE naiona Mechi ya leo ina Matokeo yafuatayo kwa sababu zangu Kuu tatu nilizozitaja hapo juu....

1. Simba SC itafungwa na Azam FC

au

2. Simba SC itatoka Suluhu (bila Kufungana) na Azam FC leo au Sare (ya Kufungana) na Azam FC leo.

Nasisitiza tena kuwa tafadhali wana Simba SC wenzangu mlipo hapa JamiiForums tujiandaeni Kisaikolojia hii leo na kamwe tusiende na Matokeo yetu Uwanjani dhidi ya Azam FC kwani kwa leo Upepo siyo mzuri na ikitokea tumeshinda Furahini mno kwa SHUGHULI tutakuwa tumeshaimaliza rasmi kwa kuwa Mabingwa wapya kwani tarehe 8 Mwezi ujao (Machi) kuna Matokeo mawili tu ya 75% Simba SC kushinda hiyo Mechi na 25% ya kutoka nao Suluhu (bila Kufungana) au Sare (ya Kufungana)

Asanteni.

ANGALIZO

Hakuna mahala popote pale NIMEKULAZIMISHA UAMINI hiki NILICHOKIANDIKA hapa bali huu ni MTAZAMO wangu kama ule ambao niliutoa mapema sana kabla ya Simba SC kucheza na Singida Fountain Gate FC kule Mkoani Manyara hivyo naomba UHESHIMIWE kwa ADABU zote.
Mkuu kwenye ubingwa hapo ni Bora uweke akiba ya maneno,,yanga awezi kukubali apoteze vitu vitatu vyote kwa wakati Mmoja,,Yani atolewe champions league alafu apoteze ubingwa na apoteze fa cup!! Labda kama sio yanga ninayoijua mimi
 
Back
Top Bottom