GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare.
Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze Kushinda huu Mchezo muhimu na mgumu sana Kwetu dhidi ya Azam FC kwani GENTAMYCINE naiogopa hii Mechi kwakuwa Upepo wake si mzuri kwa Simba SC yetu.
Binafsi kutokana na Siku yenyewe (Jumatatu Leo), tarehe ya Leo Kinyota na kule Kubadilishiwa ghafla Uwanja pasipo Kutegemea na Bodi ya Ligi wakati kwa 99% yale mambo yetu ya Kiutamaduni (Kiuchawi) kwa Mechi za NBC Premier League pekee tumeyafanyia sana Uwanja wa KMC Mwenge ITV Kinondoni (kwa Mazindiko na Makafara ya UBAYA UBWELA) na kwa Uwanja wa Mkapa tumefanya Zindiko MAALUM tu la UBAYA UBWELA kwa Mechi za Kimataifa tu na Kitaalam kuyahamisha yanahitaji Siku 14 hadi 28 hivi.
Simba SC yetu ikishinda leo basi Tufurahi mno na si Kidogo kwani kwa 75% tutakuwa tubaelekea kuwa Mabingwa wa NBC Premier League ila GENTAMYCINE naiona Mechi ya leo ina Matokeo yafuatayo kwa sababu zangu Kuu tatu nilizozitaja hapo juu....
1. Simba SC itafungwa na Azam FC
au
2. Simba SC itatoka Suluhu (bila Kufungana) na Azam FC leo au Sare (ya Kufungana) na Azam FC leo.
Nasisitiza tena kuwa tafadhali wana Simba SC wenzangu mlipo hapa JamiiForums tujiandaeni Kisaikolojia hii leo na kamwe tusiende na Matokeo yetu Uwanjani dhidi ya Azam FC kwani kwa leo Upepo siyo mzuri na ikitokea tumeshinda Furahini mno kwa SHUGHULI tutakuwa tumeshaimaliza rasmi kwa kuwa Mabingwa wapya kwani tarehe 8 Mwezi ujao (Machi) kuna Matokeo mawili tu ya 75% Simba SC kushinda hiyo Mechi na 25% ya kutoka nao Suluhu (bila Kufungana) au Sare (ya Kufungana)
Asanteni.
ANGALIZO
Hakuna mahala popote pale NIMEKULAZIMISHA UAMINI hiki NILICHOKIANDIKA hapa bali huu ni MTAZAMO wangu kama ule ambao niliutoa mapema sana kabla ya Simba SC kucheza na Singida Fountain Gate FC kule Mkoani Manyara hivyo naomba UHESHIMIWE kwa ADABU zote.