Umetisha kakaNasubiria kujua lini mtanijengea Manara wangu wa Kutukuka hapa JamiiForums.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki....!!!!
HATERS hawatakosekana Kwangu ila Mwenyezi Mungu pekee ndiyo anajua ni kwanini alinifanya GENTAMYCINE kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer JamiiForums na Duniani.Hakuna kitu, aliweka matokeo yote ya kiwanjani, Cha msingi zaidi alitoa tahadhali sio utabiri
Nijengeeni SANAMU langu hapa JamiiForums na kamwe msinifananishe na Mpumbavu yoyote yule sawa?Umetisha kaka
Kachoka KUNICHUKIA na KUNIDHALILISHA kutwa baada ya Mwenyezi Mungu kumthibitishia kuwa HANIWEZI na kamwe hapa JamiiForums sina Mpinzani hasa huku Jukwaa la Michezo.Leo kwa mara ya kwanza naona unamsifia Genta , maajabu sana .
Ukishasikia kuwa Mimi ni Purely Talented, Charismatic Fella Game Changer and Entertainer unategemea nini Mkuu?We jamaa hizi ramli unazifanyiaga wapi?
Nina Kipawa cha Ajabu sana Mkuu. Niheshimuni.mzee kulinge chako kiko wapi
Aliyetoa mawazo ya kubadilisha uwanja kwa ajili ya mchezo huu alaaniwe kabisa.Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare.
Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze Kushinda huu Mchezo muhimu na mgumu sana Kwetu dhidi ya Azam FC kwani GENTAMYCINE naiogopa hii Mechi kwakuwa Upepo wake si mzuri kwa Simba SC yetu.
Binafsi kutokana na Siku yenyewe (Jumatatu Leo), tarehe ya Leo Kinyota na kule Kubadilishiwa ghafla Uwanja pasipo Kutegemea na Bodi ya Ligi wakati kwa 99% yale mambo yetu ya Kiutamaduni (Kiuchawi) kwa Mechi za NBC Premier League pekee tumeyafanyia sana Uwanja wa KMC Mwenge ITV Kinondoni (kwa Mazindiko na Makafara ya UBAYA UBWELA) na kwa Uwanja wa Mkapa tumefanya Zindiko MAALUM tu la UBAYA UBWELA kwa Mechi za Kimataifa tu na Kitaalam kuyahamisha yanahitaji Siku 14 hadi 28 hivi.
Simba SC yetu ikishinda leo basi Tufurahi mno na si Kidogo kwani kwa 75% tutakuwa tubaelekea kuwa Mabingwa wa NBC Premier League ila GENTAMYCINE naiona Mechi ya leo ina Matokeo yafuatayo kwa sababu zangu Kuu tatu nilizozitaja hapo juu....
1. Simba SC itafungwa na Azam FC
au
2. Simba SC itatoka Suluhu (bila Kufungana) na Azam FC leo au Sare (ya Kufungana) na Azam FC leo.
Nasisitiza tena kuwa tafadhali wana Simba SC wenzangu mlipo hapa JamiiForums tujiandaeni Kisaikolojia hii leo na kamwe tusiende na Matokeo yetu Uwanjani dhidi ya Azam FC kwani kwa leo Upepo siyo mzuri na ikitokea tumeshinda Furahini mno kwa SHUGHULI tutakuwa tumeshaimaliza rasmi kwa kuwa Mabingwa wapya kwani tarehe 8 Mwezi ujao (Machi) kuna Matokeo mawili tu ya 75% Simba SC kushinda hiyo Mechi na 25% ya kutoka nao Suluhu (bila Kufungana) au Sare (ya Kufungana)
Asanteni.
ANGALIZO
Hakuna mahala popote pale NIMEKULAZIMISHA UAMINI hiki NILICHOKIANDIKA hapa bali huu ni MTAZAMO wangu kama ule ambao niliutoa mapema sana kabla ya Simba SC kucheza na Singida Fountain Gate FC kule Mkoani Manyara hivyo naomba UHESHIMIWE kwa ADABU zote.
Unaanza kujishaua mtoto wa kike..Nijengeeni SANAMU langu hapa JamiiForums na kamwe msinifananishe na Mpumbavu yoyote yule sawa?
Sina omani kabisa na msemqji sitarajii kombw lolote simbaSimba SC bingwa Msimu huu kwa 99% Mkuu. Nakuomba tunza hii post yangu sawa? Mchezo pekee wa kutuumiza Kichwa ni huu wa leo dhidi ya Azam FC ila Mechi yetu ya tarehe 8 Machi, 2025 nanyi Yanga SC kwa 75% Simba SC itashinda na kwa 25% zitatoka Suluhu au Sare na kuna Mechi moja (baada ya Kumaliza Kucheza na Simba SC) ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC yako ama itatoa Sare au Suluhu au hata Kufungwa pia.
Nasisitiza tena tunza hii post yangu sawa?
Niliposema hapa JamiiForums tena zaidi ya mara Mbili kwa Kujiamini kabisa kuwa Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100% na Kirusi hatari ndani ya Simba SC yetu si mlinikatalia na mpaka Kunitukana?Sina omani kabisa na msemqji sitarajii kombw lolote simba
Kama mtabiri ndo ww basi trh 8 tutaona mengiSimba anashinda game zote3 yaani dhidi ya Azam,Coastal na Yanga na zote Kwa tofauti ya goli moja
No penati no ushindiUmepata wapi muda wa kumjibu huyo Mpumbavu?
umetisha kaka japo sijapenda yaani ngoma na zimbwe jau tupu. Anyway ndio ukomavu unaendelea kuingia kwa team nzima.Ukishasikia kuwa Mimi ni Purely Talented, Charismatic Fella Game Changer and Entertainer unategemea nini Mkuu?
HATERS hamtakosekana duniani na nashukuru Mwenyezi Mungu anawaumbua Kutwa kupitia Vipawa vyangu vingi alivyonikirimia navyo / alivyonipa.Sijaona utabiri wowote mimi zaidi ya tahadhari. Maana umezungumzia matokeo yote matatu tena ukasema inaweza tokea sare ya kufungana au kutokufungana. Kwani kuna sale zaidi ya hizo?
By the way, umeshasema kuwa msiposhinda leo, basi msahau kuhusu ubingwa.....hili halina uhalisia maana ligi bado haitabiliki
Ili aniambukize UKIMWI ambao UNAKUTESA sasa?GENTAMYCINE nikupe namba za X wangu
Kumbe wewe ni shabiki wa Simba? Inabidi nikutafutie jeziKwani siyo magoli?
Mngepata nyie hizo penati ingekuwa sahihi?
🤣🤣🤣🤣 Sijui unachelewa nini jamaniKumbe wewe ni shabiki wa Simba? Inabidi nikutafutie jezi