Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

Hakuna kitu, aliweka matokeo yote ya kiwanjani, Cha msingi zaidi alitoa tahadhali sio utabiri
HATERS hawatakosekana Kwangu ila Mwenyezi Mungu pekee ndiyo anajua ni kwanini alinifanya GENTAMYCINE kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer JamiiForums na Duniani.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki.....!!
 
Leo kwa mara ya kwanza naona unamsifia Genta , maajabu sana .
Kachoka KUNICHUKIA na KUNIDHALILISHA kutwa baada ya Mwenyezi Mungu kumthibitishia kuwa HANIWEZI na kamwe hapa JamiiForums sina Mpinzani hasa huku Jukwaa la Michezo.
 
Tukishinda huu Mchezo jueni kwa 100% kwa Msimu huu Simba SC tunaenda kuwa Mabingwa kwani Mchezo dhidi ya Yanga SC tarehe 8 Mwezi ujao tuna 75% za Ushindi na 25% za kutoka nao Sare.

Hivyo basi kwa wale Wanaosali nawaomba Wasali sana leo na wale Wanaoroga pia Waroge mno leo Simba SC yetu iweze Kushinda huu Mchezo muhimu na mgumu sana Kwetu dhidi ya Azam FC kwani GENTAMYCINE naiogopa hii Mechi kwakuwa Upepo wake si mzuri kwa Simba SC yetu.

Binafsi kutokana na Siku yenyewe (Jumatatu Leo), tarehe ya Leo Kinyota na kule Kubadilishiwa ghafla Uwanja pasipo Kutegemea na Bodi ya Ligi wakati kwa 99% yale mambo yetu ya Kiutamaduni (Kiuchawi) kwa Mechi za NBC Premier League pekee tumeyafanyia sana Uwanja wa KMC Mwenge ITV Kinondoni (kwa Mazindiko na Makafara ya UBAYA UBWELA) na kwa Uwanja wa Mkapa tumefanya Zindiko MAALUM tu la UBAYA UBWELA kwa Mechi za Kimataifa tu na Kitaalam kuyahamisha yanahitaji Siku 14 hadi 28 hivi.

Simba SC yetu ikishinda leo basi Tufurahi mno na si Kidogo kwani kwa 75% tutakuwa tubaelekea kuwa Mabingwa wa NBC Premier League ila GENTAMYCINE naiona Mechi ya leo ina Matokeo yafuatayo kwa sababu zangu Kuu tatu nilizozitaja hapo juu....

1. Simba SC itafungwa na Azam FC

au

2. Simba SC itatoka Suluhu (bila Kufungana) na Azam FC leo au Sare (ya Kufungana) na Azam FC leo.

Nasisitiza tena kuwa tafadhali wana Simba SC wenzangu mlipo hapa JamiiForums tujiandaeni Kisaikolojia hii leo na kamwe tusiende na Matokeo yetu Uwanjani dhidi ya Azam FC kwani kwa leo Upepo siyo mzuri na ikitokea tumeshinda Furahini mno kwa SHUGHULI tutakuwa tumeshaimaliza rasmi kwa kuwa Mabingwa wapya kwani tarehe 8 Mwezi ujao (Machi) kuna Matokeo mawili tu ya 75% Simba SC kushinda hiyo Mechi na 25% ya kutoka nao Suluhu (bila Kufungana) au Sare (ya Kufungana)

Asanteni.

ANGALIZO

Hakuna mahala popote pale NIMEKULAZIMISHA UAMINI hiki NILICHOKIANDIKA hapa bali huu ni MTAZAMO wangu kama ule ambao niliutoa mapema sana kabla ya Simba SC kucheza na Singida Fountain Gate FC kule Mkoani Manyara hivyo naomba UHESHIMIWE kwa ADABU zote.
Aliyetoa mawazo ya kubadilisha uwanja kwa ajili ya mchezo huu alaaniwe kabisa.
 
Simba SC bingwa Msimu huu kwa 99% Mkuu. Nakuomba tunza hii post yangu sawa? Mchezo pekee wa kutuumiza Kichwa ni huu wa leo dhidi ya Azam FC ila Mechi yetu ya tarehe 8 Machi, 2025 nanyi Yanga SC kwa 75% Simba SC itashinda na kwa 25% zitatoka Suluhu au Sare na kuna Mechi moja (baada ya Kumaliza Kucheza na Simba SC) ya Ligi Kuu ya NBC Yanga SC yako ama itatoa Sare au Suluhu au hata Kufungwa pia.

Nasisitiza tena tunza hii post yangu sawa?
Sina omani kabisa na msemqji sitarajii kombw lolote simba
 
Sina omani kabisa na msemqji sitarajii kombw lolote simba
Niliposema hapa JamiiForums tena zaidi ya mara Mbili kwa Kujiamini kabisa kuwa Ahmed Ally ni mwana Yanga SC 100% na Kirusi hatari ndani ya Simba SC yetu si mlinikatalia na mpaka Kunitukana?

Na bado........!!!!!!!
 
Sijaona utabiri wowote mimi zaidi ya tahadhari. Maana umezungumzia matokeo yote matatu tena ukasema inaweza tokea sare ya kufungana au kutokufungana. Kwani kuna sale zaidi ya hizo?

By the way, umeshasema kuwa msiposhinda leo, basi msahau kuhusu ubingwa.....hili halina uhalisia maana ligi bado haitabiliki
 
Ukishasikia kuwa Mimi ni Purely Talented, Charismatic Fella Game Changer and Entertainer unategemea nini Mkuu?
umetisha kaka japo sijapenda yaani ngoma na zimbwe jau tupu. Anyway ndio ukomavu unaendelea kuingia kwa team nzima.
 
Sijaona utabiri wowote mimi zaidi ya tahadhari. Maana umezungumzia matokeo yote matatu tena ukasema inaweza tokea sare ya kufungana au kutokufungana. Kwani kuna sale zaidi ya hizo?

By the way, umeshasema kuwa msiposhinda leo, basi msahau kuhusu ubingwa.....hili halina uhalisia maana ligi bado haitabiliki
HATERS hamtakosekana duniani na nashukuru Mwenyezi Mungu anawaumbua Kutwa kupitia Vipawa vyangu vingi alivyonikirimia navyo / alivyonipa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE Kudadadeki...!!!!
 
Back
Top Bottom