Wana Simba SC wenzangu nawaomba sana tujiandae 'Kisaikolojia' kwa Mchezo wa Leo dhidi ya Azam FC kwa Mkapa

Ni kweli kama mwamuzi ni kaa yule wa namungo!?
 
Waliojiandaa kisaikolojia wako salama ila akina wale wenzangu wabishi nadhani wameamkia ICU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…